Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ingawa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imepiga hatua kubwa katika kuchora na kuzalisha picha za binadamu, bado kuna changamoto kadhaa katika kuonesha viungo vya mwili kwa usahihi. Hii inatokana na...
2 Reactions
6 Replies
342 Views
ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO MOSSHI Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani...
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
7 Reactions
3 Replies
179 Views
Zab 104:34 SUV [34] Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia BWANA. Tunaweza kutafakari jambo kwa uzuri au kwa ubaya, inategemea umejikita haswa kwenye kitu gani wakati unafanya...
2 Reactions
0 Replies
31 Views
Utangulizi Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo...
1 Reactions
1 Replies
77 Views
Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART)...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Kuna taarifa ya kuwa Meli ya MV. Victoria imesitisha kufanya safari kwa takribani wiki mbili sasa, hiyo ni baada ya kupata hitilafu kwenye mfumo wa uendeshaji lakini mamlaka inayohusika ya...
2 Reactions
7 Replies
552 Views
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria...
1 Reactions
1 Replies
105 Views
Wadau wa JF, poleni na majukumu! Dunia hii ina watu wa aina nyingi, lakini kuna baadhi ya watu ukiwa nao karibu, maisha yako yanaweza kuharibika vibaya sana! Kuna watu wakijifanya marafiki zako...
3 Reactions
17 Replies
477 Views
Walimu na Wastaafu Wenye Kero Mbalimbali wamejitokeza Kliniki Ya Walimu Na Samia Mkoani Arusha Kusikilizwa Na Kikosi KAZI Kutatua Kero zao Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania...
3 Reactions
6 Replies
99 Views
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameuagiza Uongozi wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kuwaandikia notisi ya kuwatoa kwenye vitalu wawekezaji waliokiuka masharti ya Mkataba wa...
1 Reactions
2 Replies
65 Views
Jumla ya madawati 90 na viti vimetolewa kwa shule za sekondari na Wakala wa Uhifadhi Misitu Tanzania TFS wilayani Misenyi mkoani Kagera ili kuweza kuboresha upatikanaji wa Elimu kwa wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
44 Views
Katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani huko Mkoani Tabora wilayani Kaliua wanawake wilayani humo wamepata tumaini la kupata majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia
1 Reactions
1 Replies
36 Views
TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa...
1 Reactions
3 Replies
160 Views
Kutokana na changamoto ya muda mrefu wanayopitia wananchi wa kata ya Mahuninga halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani ya kufuata huduma za afya umbali mrefu uenda ikabaki historia mara baada ya...
0 Reactions
1 Replies
44 Views
Ndugu WanaJF, Mungu ni muuaji ambaye amefanya mauaji ya halaiki mara kwa mara na wote tumeyasoma kwenye simulizi za biblia. Pamoja na hivyo, bado shetani analaumiwa zaidi kwa kudaiwa...
11 Reactions
91 Replies
2K Views
TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa? Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki...
1 Reactions
1 Replies
61 Views
(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili. (2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula. (3) Ukienda nyumbani kwa mtu...
87 Reactions
416 Replies
12K Views
Habari zenu wadau wa Jamiiforums! Ningependa kujadili jambo ambalo limekuwa likiibua maswali mengi miongoni mwetu. Tumeshuhudia matukio ambapo mtu anakutana na shida kubwa za kiafya baada ya mambo...
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Back
Top Bottom