STANSLAUS NYONGO ATAKA MAJADILIANO YA TIJA DIRA 2050
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Haroon Nyongo amekumbusha umuhimu wa majadiliano ya pamoja badala ya...
DC KILAKALA AKABIDHI MILIONI 699.4 MIKOPO YA ASILIMIA 10
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala, amesisitiza juu ya matumizi sahihi ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa vikundi vya...
Marathon Hub in Tanzania: Connecting Runners, Organizers, and Communities
As marathon running continues to gain popularity globally, Tanzania has become a prime location for these athletic events...
Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti
Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili...
Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo
Pia naomba kufahamu...
Baada ya serikali kuanza utaratibu wa kuhakikisha mifumo yake inasomana kuna utaratibu mzuri unaohakikisha kuwa ukishasajiri kampuni ile namba yako ya usajiri ndiyo namba hiyohiyo kwa ajili ya...
Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok
Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma...
Kutoka CRDB kwenda NMB maana Kijiji nilichopo hamna Benki Wala wakala wa CRDB kwahiyo gharama ya kutoa pesa ni mara mbili.Lazima utume kwenye laini ya simu wakate Kisha utoe kwenye simu wakate...
Wakuu, mara ya mwisho nimefuatilia kuhusu kupata fremu kariakoo, lakini tofauti na kulipa kodi ya pango.kuna mchongo wa kulipa kilemba kww aliekuwepo katika fremu
Tuelemishane kwa wanaoelewa...
Wakuu, mimi nina mtaji wa 4 millions (Million nne). Kwa sasa nipo Mwanza lakini nilikua na mpango wa kwenda Dar kuanza kujitafta rasmi kwaajiri ya maisha yangu, na nina lengo la kufanya biashara...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) amesema kuwa wananchi 595 waliofanyiwa uhakiki wa mali katika eneo la mradi wa Engaruka (Monduli) wanalipwa jumla ya shilingi bilioni...
Moja kwa moja twende kwenye mada
Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga...
Yaaani Unatoa 3M,
Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000
Faida kwa mwaka = 650,000
Faida kwa mwezi = 54,000.
Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂
Wagonjwa wa akili ni wengi..
Issue sio aina ya biashara tuu, japo...
UTT n mfuko wa hisa
✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama...
Habari njema kwa wote! 🎉
Tunawaletea Pocket WiFi Portable yenye kasi ya 4G, inayokuwezesha kufurahia internet popote ulipo! 🔥
👉 Bei ya WiFi: Sh. 50,000 tu!
👉 Ukisajili, unapata GB 20 BURE kwa...
Habari za asubuhi wana jamii forum. Nataka kufanya biashara ya kuuza vitabu vya shule kwa ngazi zote. Kuanzia nursery mpaka secondary ila sijajua sehemu ya kuvipata kwa jumla na pia mtaji wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.