Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma...
Ni habari mbaya ambayo imetokea muda si mrefu.
Aliyekuwa Mhadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini, Prof. Mwesiga Baregu amefariki dunia mapema leo.
Prof. Baregu alikuwa pia Mjumbe wa Kamati kuu...
Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alizaliwa Masasi, Mtwara 12/11/1938 alisoma Shule ya Msingi Ndanda kisha shule ya Sekondari Pugu, Dar
1962 alipata shahada ya kwanza katika Lugha ya Kiingereza...
Wandugu,
Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati wa...
Habari za uhakika muda mchache uliopita nimepata taarifa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kabla ya Mbowe... Mzee Bob Makani amefariki.
R.I.P Bob Makani
Kwasababu ya msiba huu, CHADEMA...
BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES
Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel.
Siku moja jioni simu yangu ikalia.
Walikuwa BBC London Idhaa ya...
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
Khatibu aliwahi...
Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu...
This comes in the backdrop of reports of growing number of infection within the diplomatic community in the capital.
A Tanzanian official based here has become the first foreign diplomat to die...
Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo...
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
Ndg...
PUMZIKA KWA AMANI MONSINYORI DEOGRATIAS HUKUMU MBIKU[emoji120][emoji120]
Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya...
Kanali Massawe aliwahi kuwa DC wa Kinondoni pia.
Alikuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee kuanzia mwaka 1986 hadi 2002.
Pia, alikuwa Mkuu wa Chuo cha NDC Kunduchi kisha Arusha.
Kanali...
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia anasikitika kutangaza kifo cha makamu mwenyekiti mstaafu Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan kilichotokea siku ya...
Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la...
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Padri Cephas Mgimwa amefariki leo katika Hospitali ya Teule ya Tosamaganga Iringa
Makamu Mkuu wa Chuo amesema katika tangazo la...
Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo...
Rais Magufuli ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa amesikitishwa na kifo cha Jaji Mstaafu Harold Nsekela.
"Nimesikitishwa na kifo cha Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani...
Kwa taarifa za uhakika ni kuwa aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu ametangulia mbele ya haki.
Profesa Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021...
Mhadhiri wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. James Jess amefariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake Tabata Jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Aidha, Dkt. James Jess alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.