Enyi wanachama wa JF, napenda kujitambulisha kua na mimi Bwaksi ni mwenzenu. I hope ipo siku nitakua seniour expert member:target:
Nainjoi sana michango ya wanachama!!! Na kuna wakati nikitaka...
nawapenda wote na nawatakia x-mass njema.
mr/madam speaker, i propose the motion that judith be accorded a warm welcome at jamii forums where people dare to talk opennly. wake up all those who...
I am very glad to inform the JF members and I am just new I have joined JF to bring real changes to our communities and help our govt on what we call good governance is all about leaders to be...
WanaJF, maveterani na wageni waliojiunga na forum hivi karibuni, ninawapa salaam za kheri ya mwaka mpya. Mimi ni mmoja wa wageni ambao najitokeza mbele yenu kwa kuanza mwaka mpya 2011 kwa...
hi wana-jf, ndo mgeni kabisa humu ndani, naomba kupokelewa, tuweza kulisukuma mbele hili gurudumu. Mmekuwa kimbilio langu mara nyingi ktk mwaka huu wote na hakika nimeipenda jf kwa mada mbalimbali...
Wana JF mimi sikuwa member wa JF lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Nimegundua kwamba level of thinking ya...
Cha ukweeeeee kikwelikweli....aksanteni ndugu ninyi nyooooote wa JF nawapa pongezi kwa safari ndefu mliyo ianza siku nyingi pasipo kuchoka....nami nakata utepe rasmi NIPO NANYI MPAKA MWISHO WA...
Kwa hakika nimekuwa nikiifuatilia jf kama mgeni, sasa nimeona na mimi niwe natoa yangu maoni na kuchangia.Hodi hodi wana jf!!!! naamini tutaelewana tu maana "lugha" zenu nazitambua na nazipenda!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.