Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Waungwana, ninabisha hodi na kuwasalimuni. Mie mwanafamilia mpya jamvini naomba mnipokee. Wasalaam.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi hodi wana JF. Hodi mpaka ndani!!
0 Reactions
4 Replies
681 Views
Nawasalimu wakubwa na wadogo kujitambulisha kwenu
0 Reactions
6 Replies
869 Views
Habari wana JF,mi ni mwana JF mpya,nawapa salam ndugu zangu, naomba mnipokee kwa mikono miwili,naamini nitanufaika na kujifunza mengi mapya ktk nyanja zote za maisha. Ahsanten sana,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello JF. Mimi ni Njuka humu naomba mnikaribishe jamani. Ahsanteni.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
i am aizak
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Hi All, Ndugu zangu wana JF nachukua nafasi hii kujitambulisha na kuomba kukaribishwa katika mawazo na mijadala ya hapa na pale yaani kijamii, kisiasa n.k. Natanguliza shukuran zangu za dhati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
My name is BTK. Good to be here among you great thinkers
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu kwema humu ndani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Bwana yesu asifiwe,asalaam aleikhum.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hodi jamani,nadhani nyote waungwana na mtanikaribisha kiungwana! oke 2po pamooooja!:painkiller::painkiller:
0 Reactions
6 Replies
978 Views
Hello JF members, I am a new member, I believe this forum has people who critical thinkers, hoping to learn alot from you guys. lets use the forum constructively for the benefit of all. Thanks
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Heshima mbele ! Naomba kuchukua fursa hii kuomba kuungana nanyi wanajamii ili kuelemishana na kuchangia hoja mbalimbali zinazolenga jamii inayonizunguka na Tanzania kwa ujumla. Natanguliza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu mliomo. Mimi ni mgeni hapa na nategemea kupata ushirikiano toka kwenu nami nitashiriki niwezavyo mada zitakazonigusa kwa maendeleo ya wote. Na leo ninahitaji mchango wenu kwa mada...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hellow wadau wote popote mlipo ndio kwanza najiunga mambo vipi??????? naombeni mnikaribishe jamvini tupeane habari thanksssssss:angry:
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Hallow guys..... Niko Hong Kong kwa muda. Nimeboreka mbaya. Any JF member down here?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Najisikia fahari kuwa sehemu ya jamii forum
0 Reactions
1 Replies
860 Views
hello everybody. it is wonderful to be part of this fantastic forum.
0 Reactions
1 Replies
866 Views
kwa kweli lazima niombe radi kwenu. kwa maana nilipoingia tu, sikuwa makini kupekua kila kona ya jamvi na kuona adabu za ukaaji wake. lakini kwa kuwa wenyeji ni waungwana na ma-intelligent...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Naja naja kwa adabu kwenye jukwaa la adabu wengi wenu wa adabu thamani kama dhahabu natarajia mafunzo na mapambano kwa wingi tujenge taifa letu Tanzania itadumu!
0 Reactions
9 Replies
997 Views
Back
Top Bottom