Hamjambo wanajamvi? Ni mwanachama wa siku nyingi ambaye nilijiunga nikitokea Tanzanet, lakini sikuwa hai kwenye jamvi kwa maana ya kuchangia. Hata hivyo nafarijika kuwa hakuna siku sijawahi...
Hodi wanajamii wote naomba mnipokee.
Kwa ujumla nafurahishwa sana jinsi mnavyobadishana mawazo na kujenga dhana zenye mantiki na mguso kwa jamíi.
Hongereni
Habari za jioni.nawapongeza kwa kutupa nafasi kubwa ya kuchangia hoja mbalimbali,ambazo sisi wanajamii zina tukere.nadhani hoja zetu zina wafikia walengwa.by ombeni w lema
Jf ni mtandao unaokwenda na wakati ndio 7bu nimeshawishika kujiunga.1 ya 7bu ni mafundisho.jf inafundisha jamii kwa kutoa mawazo na fikra nzuri zinazo kujengea kujiamini siku zote watu tuna...
Jambo wana JF. Naombeni mnikaribishe jamani ila naomba niwaeleze mimi sifungamani na upande wowote. Kwenye jukwaa la siasa sina chama kwahiyo naangalia hoja na mwenendo. Chadema wakifanya vibaya...
Sitakuwa na maneno mengi ya kuwaambia humu ndani nataka tu mjue dume limeingia na ole wenu msinikaribishe na kwa kuanzia natafuta mchumba aliye interested ani PM nimtumie e mail yangu tuwasiliane.
Asalaam alykum! Nisameheni jamani niliingia bila hodi wakati wa uchaguzi. Sasa nawasabahi rasmi. Nimefarijika sana na JF kwani penye wengi pana mengi. Hodiiiiiiiiiiiii:target:
HODI JAMANI. NAFURAHIA MAJADILIANO YANAYOFANYIKA JF KWA UWAZI UNAOJITOSHELEZA.
NITAFURAHI KUKARIBISHWA NA KUWA MWANA JF.
HITAJI KUBWA LA TANZANIA LINAFANANA SANA NA MANENO YA MWANDISHI HUYU WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.