Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ninayofuraha kukaribia kwenye forum hii ya jamii....naamini mungu ataniongoza kujifunza kutoka kwenu wanajamii na pia kuwezakutoa mchango wangu rgds, hunduka daraa
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Naomba ruhusa ya kukusalimia.......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamii mpoooooooo!!!!!!! Mimi ni mwanajamii mpya kabisa, yaani brand new. Sichachakachuliwa na itikadi yoyote wala siasa zozote au dhehebu wala nchi yoyoye zaidi ya shule ya darasani. naomba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba niingie hadi ndani na Nijitambulishe kwenu wanajamvi! Naombeni ruksa yenu!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi! Salam zangu kwa wote mliofungua post hii...kwanza pili nikupiga hodi ukumbini hapa kulikonivutia sana sana....naomba ushirikiano wenu wakubwa...ni mimi wenu nilham....:a s 103::a s 103:
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Natumaini ndiyo
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Samahani nilikuja wakati wa uchaguzi, samahani sikufanya busara kupiga hodi kwanza.... Hamjambo ndugu zangu?
0 Reactions
5 Replies
935 Views
Hello guys! I am a new member in this forum and i would like to just greet you. i have decided to join this forum so that i can contribute something. Have a nice day people!
0 Reactions
2 Replies
943 Views
WAKUBWA HABARI ZA HAPA? NATUMAINI WOTE WAZIMA NA POLENI NA KAZI:A S-key:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Napiga hodi kwa wana JF wote napenda kuungana na hii jamii katika kuongelea mada mbalimbali.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Poleni na majukumu naomba mnipokee mtu wenu,nimekuja tuweze kubadilishana mawazo kidogo,nawapenda kwa hoja na misimamo isiyoyumba asanteni sana
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Hello wanaJF! mambo zenu? Anyway hatimae niko in ze house. Nitapenda kushirikiana na ninyi ktk topic mbalimbali pale panapobidi kufanya hivyo! Ahsanteni!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawasalimu nyote...nipokeeni mie mgeni wenu
0 Reactions
8 Replies
859 Views
Nice to join you here. Work hard, have a great and enjoyable day. Avoid false excuses like this one Father: Why are your exam marks so low? SON: Because I sit at the desk at the back, Dad. Father...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi hodi wenyeji, wanfamilia wa JF.. Najitambulisha kwenu, mimi mgeni mpya wa familia hii kubwa. kijana wa kiume nnayejulikana kwa jina la mwesiga. Nashukuru sana kwa kunipokea
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nawaheshimu niliowakuta kwenye bodi hii nimeambiwa nifanye hivyo! Nisiowakuta hata sijui!!?? Mnipokee hivyo hivyo, nilikua outside member, sasa ndani ya nyumba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefuatilia jamii forum kwa kipindi cha miezi mitatu na nimevutiwa sana jinsi watu wanavyo wakilisha mada na kuzichanganua. Pia napenda ukweli na uwazi ulivyotawala humu jamvini. Ukichemsha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
how are you folks!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wenyeji humu nyumbani? Mimi ni member mpya naombeni nafasi nyumbani Its me Wailing
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni furaha kuwepo pamoja nanyi ndani ya hili jamvi tukufu. Ni matumaini tangu tutashirikiana na kusameheana kwani sisi wanadamu asili yetu ni kukosea na kuwa wahitaji siku zote. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom