Wan-JF, malalamiko yako kila kona ya nchi yetu kuhusu uchakachuaji wa uchaguzi kwa njia ya aibu sana usoni mwa ulimwengu, laki mchakachuaji bado, ambaye mpaka sasa anadaiwa kuwa ni CCM, hatujaweza...
Heshima kwenu wanajf.
Nimeamua niungane nanyi katika jukwaa hili, ili pamoja na kujifunza kutoka kwenu, nami nipate fursa ya kushiriki kikamilifu katika mijadala inayoendeshwa ndani ya jf...
Habari ndugu zangu
NImekuwa ninasoma 'threads' zinazoandikwa na jinsi ambavyo watu wako makini katika kujadili mada muhimu zenye mustakbari wa Tanzania na jamii kwa ujumla. Binafsi nimevutiwa...
Heshima kwenu nyote wana JF "Where we Dare Talk Openly," ni mgeni jamvini kwa maana ya kupost lakini ni mwenyeji kwa maana ya kusoma na kufuatilia mijadala mbalimbali.
Jamvi hili ni muhimu...
Hellow......
Jamani mimi ni MwanaIFM, nimejiunga na kile chuo pale mjini! YES katikati ya mji na naweza kusema chuo kilichopo mjini kuliko vyote na nimevutiwa na majadiliano ya humu jamvini...
Jamani marafiki naomba kujiunga nanyi hapa JF. Naitwa Salehe, nimejisajili hapa JF kama Mr.shs. Ni mwalimu wa sekondari natumai tuna mengi ya kushirikiana! Asanteni
wana JF,leo hii natangaza rasmi mbele yenu kwamba kwa moyo wangu wote nimeamua kurudisha kadi ya jamvi lile la sura ya kitabu najiunga nanyi great thinkers nijifunze mengi kutoka kwenu,nikue...
ningependa kuwapongeza wabunge wa CHADEMA kwa uzalendo walioonyesha katika kutetea haki na usawa katika nchi hii . najua kutakuwa na maneno mengi ya kuwakatisha tamaa but keep on doing right...
Eid Mubarak wanajamii!Mimi ni mgeni katika jukwaa lenu hili,ila nimelifatilia kwa muda mrefu sana kwa kusoma fikra zenu,dira na maoni mbalimbali hivyo nami nijiunge ili nami nitoe yaliyomo katika...
Najiona kama ni mtu niliyekumbuka shuka wakati ni asb.kumekucha. Ni Mr TANO ATHANAS NCHASI. Kutoka Dodoma St. JOHN'S UNIVERSITY. Nawaomba wanaharakati tujuane jamani ili na mimi niwe active...
Ni tumaini langu kuwa mko vizuri ndugu zangu wana jf, mimi ni mgeni katika ukumbi huu na hivi leo ninaomba baraka zenu wazee na watangulizi wangu ili tushiriki kwa pamoja katika kudadavua na...
Wajameni mi ndo napiga hodi naombeni mnifungulie, nikaribisheni, sebuleni,nipeni maji ya baridi coz kuna mambo kibao, nahitaji kushare nanyi. asanteni.
at last i am on board! i expect to share and enjoy a lot in areas of local politics, education financial matters in particular, law and much more.
asante!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.