Samahanini wana jamii, nimepost bila kuji introduce, mimi naitwa Mr. Pascal ni mtaalam wa masuala ya TECHNOHAMA. Nimekula kwanza ndio nanawa mikono ili niendelee kula, samahanini sana.
Paaaaaaaap hadi kwa Wapendwa JF, allow me to be with u but not with JK, nilikuwa na wamasai nikiwa safarini Loliondo, nikawauliza vp uchaguzi mtampa nani kura bila kuchelewa wakatema mate chini...
Hodi hodi wana JF ma'great thinkers' a.k.a wana CHADEMA kama wengi mnavyopenda kujiita. Nikaribisheni ili nipate muongozo wa mambo ya kijamii na changamoto zake. Nategemea sana mchango wenu wadau...
wadau kwanza naomba kujitambusha kwenu kwani mimi ni member mpya. Pili nachukua fursa hii kuwapongez wote mliotumia muda na akili zenu kUfuatilia na kuchangia kwa maono ya fikra chanya kuhusu...
Kwa muda mrefu nimekuwa mtumiaji wa blog mbalimbali na sikuwahi kuwaza kuwa mwanachama popote. Rafiki yangu mmoja aliponiambia kama nataka mawazo mbadala na yenye tija (kwa kuwa ni anafahamu kuwa...
Hodi wana JF, nimekuja kwenye jamii japo nimechelewa lakini naamini sio sana. JF kweli inajenga na kurekebisha nashangaa kwanini nimechelewa kujiunga na hii jamii. Naomba wana jamii mnipokee ili...
Jamani nimetua sasa hivi kutoka nchi za mbali, nilikuwa sijawahi kutembelea hapa hadi jana nilipoambiwa habari za hapa kwenu!
Nilifurahi sana nilipoelekezwa kwenye mjengo huu wa great thinkers...
Mi. Ni mgeni kujiunga ila nimeathirika zaidi kwa kuisoma JF mara kwa mara mkoo juu mazee hata cjui nlikuwa wapi siku zote na kinachonisukuma zaidi ni hii dhuluma ambayo sijawahi kuwaza kama...
Nafurahi sana kuwa mwanajamii,nimekuwa msomaji wa mada za humu ndani kwa kipindi chote cha uchaguzi na sasa nimeona ni vema nijiunge ili nami nichangie,naomba mnipokee.
Jina langu ni Esta. Nimevutiwa na forum hii kwa kuwa na majadiliano na mijadala ya kila aina. Natumai nitajifunza mengi.
Nina issue inanisumbua sana. Nayo ni kuhusu uchafu uliokithiri katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.