Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!
Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo...
3 Reactions
16 Replies
496 Views
1. Mheshimiwa Haji Manara amepata shavu la usemaji wa klabu ya PSV Eindhoven. 2. Mipango ya vibali vya kazi na viza vikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi. ya...
0 Reactions
17 Replies
818 Views
Duh! Ila kweli Diamond ni simba, habari za chini ya carpet inasadikika kuwa Diamond alimla Poshy Queen. Aise! Kama hizi habari ni kweli basi Diamond kanishinda tabia. Huyu Diamond, yaani wadada...
11 Reactions
193 Replies
22K Views
Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja gharama ya fungate inakaribia TZS 300m. Pole Chibu
7 Reactions
82 Replies
3K Views
Hatimaye! Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’...
29 Reactions
352 Replies
10K Views
Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!! Baada ya jux kufunga ndoa, na...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Za ndaaaani kabisa Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media. Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Rumor has it , kuwa yale mahusiano yaliyokua na tashtiti mjini, kati ya mwanamuziki benpaul na mrembo kutoka kenya , Annerlisa ambaye katokea kwenye familia ya kitajiri , inasemekana mahusiano...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu. Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za...
14 Reactions
51 Replies
5K Views
Ingredients 1.Dry Coconut 2.Tiger Nut 3.Dates 4.Banana Blend them together and extract the Juice 🧃 Refrigerate it and drink twice daily. Thank me later 🤝👌
1 Reactions
7 Replies
362 Views
Wengi wetu wahenga tunaijua hii couple Raqey ni mtu mwenye historia ya kusisimua katika kujitafuta kwake mpaka kujipata (zero to hero) Sarah pia ni mwanamke mrembo na mpambanaji sana, kajipata...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Eid al Adha mubarak wana JF Jamani mwenye ubuyu kamili wa Menina na anayedaiwa kuwa alikuwa mumewe wamezaa mtoto ana kama miezi miwili mitatu, atupashe[emoji33][emoji33] Nasikia bi dada ni...
6 Reactions
173 Replies
41K Views
Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
22 Reactions
88 Replies
7K Views
Zipo tetesi Msanii Nguli nchini Peter Msechu amealikwa katika tamasha nchini Malawi. Kila la kheri P
3 Reactions
11 Replies
926 Views
Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Msaani maarufu wa Marekani na producer wa label ya Bad Boy record, anaejulikana kwa jina maarufu la P diddy, sasa tumbo joto baada ya mama yake na Christopher Wallace almaarufu Notorious B.I.G...
35 Reactions
325 Replies
25K Views
Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza. Umbea unaozagaa kwa...
14 Reactions
243 Replies
43K Views
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania. Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi...
28 Reactions
229 Replies
35K Views
Back
Top Bottom