Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!
MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ameendelea kung’ara kimataifa baaada ya kushinda tuzo ya Nigeria’s Next Super Model na kuwa mwanamitindo bora barani Afrika wa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shori Mkali wa HT aiseee jamaa anakula maneno nzuri sana aisee... New photos of Bee Anderson (girlfriend of Hasheem Thabeet) Hasheem Thabeet (#34) has a beautiful girlfriend, Bee Anderson...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Sugu amshukia roma mkatoliki baada ya roma kusema kuwa Pesa ndio imemaliza bifu ya ruge na sugu Sugu akiwa ndani ya eatv katika kipindi cha friday night live amemshukia roma na kumuonya...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Jamani yuko wapi au ndo umaarufu bongo basi tena..Kuna tetesi anaonekana Moshi maeneo ya KCMC anashinda saloon asubuhi hadi jion akiulizwa vp anasema amerudi nyumbani kulima..
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hapa kwakeli sijamwelewa ROMA ni Sugu kapewa pesa anyamaze au Ruge kapewa pesa anyamaze....shorty sijaelewa pesa imetumikaje kusolve dis isue'''''''''' kwa mstari huu ROMA yupo sahihi au amepotoka?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
11 . Taarifa za uhakika nilizozipata kwa sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mwigizaji Lulu akatoka kwa dhamana kesho january 25 2013. Uhakika wa Lulu kupata dhamana ulikua jana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAKATI wasanii wengi wakichemsha kwenye show, mkali kutoka THT, Amini , amesema kuwa anamkubali Diamond kwenye upande wa show kwani anavuta mashabiki wengi kuliko msanii mwengine yeyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
It's probably BS but quite a number of people are taking his claims quite seriously because Bryan Boy is one of the most popular and most respected fashion bloggers in the world. He was dubbed by...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi hili suala la wasanii wa kike kutoelewana unalichukuliaje kwa 7bu naona kila siku wanapigana madongo EATV mara Snura na Wema hawaelewani ooh sijui Shilole na Flora Mvungi mmm haya bwana eti...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,kwa kweli napenda kumshukuru Mungu kwa uzima Binafsi napenda kumshukuru Mungu kupitia mtumishi wake KAKOBE kuhusu suala la TANESCO,wadau kusema kweli bila yeye haya madudu ya...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Huyu kijana ni caregious,jasiri na mwenye "revolutionary ideas" sana!huwa anani impress xana kwa nymbo zake!anastahili kuungwa mkono kuingia bungeni kutuwakilisha!ni wazo langu!
0 Reactions
41 Replies
5K Views
  • Closed
Yaani nimefungua TV namkuta J Kiria anafanya mahojiano na watu wazima sijajua subject ila akaaza kumlaZimisha yule mzee mmoja ataje nguo za ndani ni zipi yule mzee kwa ustaarabu hakutaja...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
One of Kanye's bitter ex girlfriend Brooke Crittendon spoke with The Sun and explains how she met Kanye, why they broke up and why he's with Kim K. Brooke tells The Sun"For Kanye, what other...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
That is if National Enquirer is to be believed. They claim that Tiger Woods is desperate to have his ex-wife Elin Nordegren back and has offered her $200 million to re-marry him and give their...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Binafsi siyo msomaji wa magazeti ya udaku, ila leo asubuhi wakati naangalia gazeti la kununua ndipo nimeona habari inayowahusu Ray au VINCENT KIGOSI pamoja na wenzake akina JOHARI. Picha zao ziko...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Last year, after 10 years of marriage and two children, Vanessa Bryant filed for divorce from LA Laker Kobe Bryant after a private investigator provided her with proof that Kobe had been cheating...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sina update yoyote kuhusiana na hili hata vyombo vya habari navyo vimezima! Nini hatma ya huyu mtuhumiwa?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ukiacha kubana pua na kuvuta sauti au kuchanganya kizungu na kiswahili wanapoongea, wasanii na watu wengi mwashuhuri (Super Stars) wanaooongea, huwa wanafanya hivi kama Mr. Blue kwa kujiuma uma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasanii wengi wenye majina makubwa wengi wanatabia ambazo wengi huchukizwa nazo wanasahau hata kauri mbiu yao ya wasanii kioo cha jamii,sasa embu tuelezeni tabia zao mbaya ili ikiwezekana...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Back
Top Bottom