Wana JF Umofia kwenu usiku wangu wa kuamkia tarehe hii 22/02/2019, Nimeutumia hapa Last Minute Lounge iliyopo sinza mori mbele ya La Chaaz njia ya kuelekea Wanyama Hotel.
Hakika ni usiku mzuri na...
Tazama hii show wimbo wa now we are free wa hans zimmer ukipigwa live, kila kifaa kinapigwa unakiona na kukifeel, kuanzia violin, marimba, na takataka zote. Huu mziki si wakiwango cha dunia hii
Kondeboy
Weeeeeeeee
Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa
Verse
pesa ya kulipa gesti unayo eeeh nyumbani familia inapiga...
Today marks the 25th anniversary of Mariah Carey classic hit 'Always Be My Baby'
Artist: Mariah Carey
Title: Always Be My Baby
Album: Daydream
Genre: R&B
Label: Columbia Records
Year: 1996
Oh...
Habari wana JF
Leo ningependa ku share na nyie hivi unadhani kwanini bongo movie zetu bado tunasitasita japo kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya mambo ..
Embu chek hii clip alafu...
Habari za muda huu wana JF.
Kifupi, ningependa tujadiliane kuhusu utafauti kati ya watu hawa wawili, Famous na Superstar!
Ninavyofahamu, FAMOUS ni mtu maarufu, haijalishi umaarufu wake umetokana...
Hili pindi la mangoma ya kisauzi kila J2 Wasafi FM kwangu ni balaa sana, kiufupi wasauzi wanamabiti mazito na ya maana sana ila sijui why ngoma zao hazivumi.
Ukiangalia hata biti za wimbo wa...
Riwaya: MUME GAIDI
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Ilikuwa ni kipindi cha mvua za masika, na siku hiyo mvua ilikuwa inanyesha. Kijana Patrick alikuwa...
Mimi huwa napenda old school (miziki ya kale)80's,90's na early 2000.
Kutokana na uchache wa muda nyimbo hizo kuchezwa redioni,napenda kwenda YouTube kusikilizana ikibidi ku download.
Weekend...
Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana.
Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO...
Haiuzwi Ukiwa under 18 mda usije ukamponza mtoto/
Kama una dozi kunywa hata soda ndogo/
Mdogomdogo sio kreti libaki empty/
Utajikuta bwana mdogo ume lost imebaki chenji/
Ukaleta tu madrama na...
Mate
Kuna tabia baadhi ya watu waume kwa wanawake wamekua wakisema kwamba wao kwao kupendwa au kupend sio kitu cha muhimu hapa duniani, wengine hufika mbali zaidi na kusema kwamba nilizaliwa peke...
Leo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo.
Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia...
Yanga katuroga Nan? Haiwezekan uongozi na Benchi la ufundi wanashindwa kuelewa Mapungufu yako wap
Kwa jinsi wachezaji wanavyo cheza wa yanga ni dhahir kabisa team haiko Sawa mfano mechi ya Leo...
Habari wakuu,
Leo naomba tuelezane diss track ambayo unaikubali kutoka kwa wasanii wetu wa Tanzania kutoka katika aina yoyote ya mziki kuanzia bongo fleva, taarabu, zouk, hip hop, dansi, singeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.