Michael Jackson wanted to live for 150 years.
He appointed 12 doctors at home who would daily examine him from hair to toenails.
His food was always tested in laboratory before serving.
Another 15...
Jana ndo ilikuwa finale ya series ya Game of thrones iliyokuwa inarushwa nHBO. Utabiri wa wengi umekuwa tofauti na hilo ndilo lilifanya GOT kuwa moja ya series tamu sana kutazama kwakuwa ilikuwa...
Wadau naomba kujuzwa hivi ile nyimbo iliyotokaga miaka ya 2000's mwanzoni Sijui kaiimba nani ila ilikuwa maarufu sana hapa nchini haswa sisi wabongo tulikuwa tukiimba.
WAJIPENYEKA UNAPATA UWOO...
KISA KIZURI CHENYE MAFUNZO
MKE ALIMKASIRIKIA MAMA_MKWE_WAKE
Mke Alisimama Kwenye Meza Ya Chakula Na Kumuacha Mama Mkwe Wake Mzee Kwenye Meza Ya Kula. Mume Naye Alisimama Kwa Mshangao Ili Ajue...
KISA KIZURI CHENYE MAFUNZO
MKE ALIMKASIRIKIA MAMA_MKWE_WAKE
Mke Alisimama Kwenye Meza Ya Chakula Na Kumuacha Mama Mkwe Wake Mzee Kwenye Meza Ya Kula. Mume Naye Alisimama Kwa...
Nimenunua kitabu hiki bei nzuri sana. Ni kitabu cha mtandaoni kwa ku-download kipo Amazon, ni hadithi ya kweli kwa huyu mganda. Bei haizidi elfu saba 7000 za Tanzania. Kwa wale tusiopenda hadithi...
The Muzikifan "Congo in Kenya" page, with the help of a community of friends and contributors, has grown into a valuable resource for fans of East African music. Therefore I have decided to expand...
Hiz ni movie ambazo naweza zirudia zaid ya mara 20 na nisichoke
1.this is the end
2.soul plane
3.friday zote
4.american pie zote
5.wedding ringer
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ya 1*
Dar es laam saa 1:30am
Tarehe 20/07/2017
Doka Joker au maarufu kwa jina Dj alikuwa anawapa tabu ya kucheza wapenzi wa muziki,mara apige nyimbo za Diamond,haijaisha utasikia wimbo...
SIMULIZI TAMU KUTOKA
https://storikka.blogspot.com/
ZINA SISIMUA NA KUFURAISHA
XXX | NAKUPENDA
Siku moja nilirudi home nikiwa nimechoka sana katika biashara yangu niliyofunguliwa na yule dada...
Habarini wadau,
Kijana mwenzenu nimezichanga nataka kua na mziki wa hadhi nyumbani kwangu. Kwa budget ya 1.5m naombeni mnishauri music system gani itanifaa kwa matumizi ya nyumbani. Ukiongeza...
Jamani kwa wale wapenzi wa muvi kama sisi taja jina la movie, series iliyokukosha vibaya.
....
Kwangu Mimi jamai raja ilinitia wazimu kukesha kama bundi
Ww je?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.