Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Muvi moja kali sana. Hebu itafute uone jinsi watoto mapacha saba wanavyoishi maisha ya kujificha tu ndani. Babu wao hakutaka wagundulike kwani wote wangeuawa na kubakizwa mmoja tu. Wakati...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Enzi ya Mwalimu kulikuwa na majengo kumbi maarufu jijini dar... Tukianzia pale Morogoro road na Msimbazi kulikuwa na kumbi maarufu ya wazee waliopigana vita na mkoroni jina la ukumbi ulikuwa...
1 Reactions
5 Replies
884 Views
Nyemo Chilongani Bupe Wowowo Ukiniambia nimuelezee msichana huyu, cha kwanza nitaanza na macho yake. Ni msichana mrembo, asiyeisha hamu hata ukikaa na kumwangalia. Alikuwa na umbo namba nane...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Zanzibar approved now added as Member of association CAF
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Nimeifuatilia sana hii tamthilia ya Huba ambayo inarushwa dstv Kiukweli ni moja ya tamthilia bora kwa sasa kuanzia story,script,production, location plus make ups na effects Upande wa costume...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Kama kawaida yake, Lava Lava aachia ujio mpya kabisa uendalo kwa jina Tukaze Roho DOWNLOAD
0 Reactions
0 Replies
3K Views
SEHEMU YA 01 “Johnson! Naomba unisikilize, nisikilize kwanza,” alisema msichana mmoja, mrembo ambaye kwa kumwangalia, usingekuwa na maswali mengi kwamba alikuwa mmoja wa wasichana ambao baadaye...
4 Reactions
104 Replies
20K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komred Kheri James (MCC) amewaongoza viongozi na watendaji wa jumuiya hiyo ktk shughuli ya kukabidhi vifaa vipya navya kisasa kwa bendi yao ya Vijana Jazz ikiwa ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mtakumbuka Msanii Daimond alimhudumia Msanii Hawa kwenda India kwa matibabu.Naamini Msanii Hawa karejea vipi anaendeleaje na afya yake? Tunaomba mwenye taarifa zake atujuze. Sent using...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yupo clouds now XXL najiulizaga maswali mengi huyu jamaa anaishi maisha gani mbona haonekani kabisa yani maisha yake hayajulikani yalivyo japo kuna tetesi alikuwa anavuta unga lakini now anasikika...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hii movie inatoa fundisho kwa single mams kuwa makini sana hasa wanapokuwa wameachana au kufiwa na waume zao. Nibora uwe mpweke kuliko kuumizwa mara ya pili, hasa unapokutana na mwanaume mlaghai-...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
The new adventure begins when a cyberattack reveals the identities of all active undercover agents in Britain, leaving Johnny English as the secret service's last hope. Called out of retirement...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Simba sports club ndio kikosi bora cha mpira kwa sasa kwa upande wa mashariki ya Africa. Lakini mnatuhuzunisha kwakuwa huo ubora unaoongelewa bado hamjauthibitisha. Ubora wa mpira unaonekana...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Je unakumbuka mnanda/mchiliku na vituko na matukio yake enzi hizo upo kwenye chati.je umeumis mziki huu wenye radha ya aina yake? Ebu tutajia nyimbo unayoijua
0 Reactions
49 Replies
27K Views
Old Machines but still active.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanafunzi Mtanzania anayetokea Mkoani Mwanza anyesoma chini, Amefanikiwa kuandika historia mpya katika mchezo wa 'kickboxing' kwa kumpiga kwa 'knockout' mpinzani wake raia wa China Angalia video...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Muda mwingine unatazama nyuma, unaangalia mtu ambae ulikuwa nae katika mahusiano. Unatazama namna mtu huyo alivyokosa muelekeo. Unatazama Jinsi asivyo na maono, malengo, heshima kwa Mungu na...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
The Blancos are on top of the 22nd edition of the Deloitte Football Money League, which ranks the top 20 clubs by revenue in world football Real Madrid have regained their place as the...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Back
Top Bottom