Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nifurahi iliyoje kuona timu kila mchezo inapata matokeo niwapongeze wachezaji kwa uzalendo wao katika club yetu ya yanga tunapita kipindi kigumu ndani ya timu yetu hasa kiuchumi lakini wachezaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Pambano lineisha mda huu Tyson kashinda kwa point , habari zaidi zinawajia
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Anaonekana amerudi hali yake ya awali anaendelea vizuri Mungu amsaidie. Ukienda Youtube utaona nimeshindwa kuupload. anayeweza atafute huo wimbo aupakie. Wimbo fungua link hii:
2 Reactions
27 Replies
21K Views
SHOW YA IRINGA: Show ya jana ya Wasafi wamejitahidi sana kuimprove... Vile vile kubadilisha hasa suala la kupoteza muda... Vilevile katika kuchagua list ya wasanii, suala ambalo wasafi inabidi...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeshangaa hatua waliyofikia ndugu zetu wa Nigeria kuigiza filamu za ngono bila aibu yoyote naona huko kwao maadili ndo hakuna tena. Wadada wazuri wanafanyishwa ngono huku wakirekodiwa na camera...
2 Reactions
79 Replies
18K Views
Germany Women 2-0 Brazil Women Germany edged out Brazil in a gripping match to became the first team to retain the Women's World Cup. Sandra Smisek showed great composure to pick out...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Boyz II Men's songs for the end of the road This weekend, they were on X Factor. But today, the R&B singers are with us, talking about the tracks that inspired them and what it takes to become...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
RAHA JIPE MWENYEWE Mtunzi: Masanja Mwita (The Black Rider) SEHEMU YA 1. Ilikuwa ni mida ya asubuhi siku ya Jumatano, kiujumla hali ya hewa ilikuwa tulivu na ukimya ulitawala nyumbani kwa Arafa...
2 Reactions
4 Replies
9K Views
Tangia najiandaa kwenda job Lyrics za "Chiquitita" zinakatiza akilin mno Chiquitita, tell me what's wrong You're enchained by your own sorrow In your eyes there is no hope for tomorrow How I...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Baada ya uzinduzi Mtwara sasa Mkurugenzi wa WCB > Screenshoti: RATIBA YA WASAFIFESTIVAL.HII HaPa
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa Wale Wenzangu wa Mikoni Ambao Hatujafanikiwa Kufikiwa na Hii Radio Station Nmefanikiwa Kupata Japo Recorded Version ya Ngoma Zinazopigwa kwa Sasa. Tuenjoy
1 Reactions
0 Replies
683 Views
Si kazi yangu kujishughulisha na makosa ya jinai. nilishangaa kidogo chifu aliponiamuru nifuatie tatizo la upungufu wa almasi. Isingekuwa kwa sura aliyoonesha nilitaka kumwambia apeleke malalamiko...
12 Reactions
256 Replies
58K Views
Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya ambayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share...
18 Reactions
93 Replies
25K Views
I want to know Who ever told you I was letting go Of the only joy that I have ever known Girl, they're lying Just look around And all of the people that we used to know Have just given up, they...
1 Reactions
6 Replies
826 Views
Fitna za kwenye hii series ni za kisomi sana sasa kwanini watawala wetu Tanzania yani CCM pamoja na serikali wasizitumie ili wabongo tuache mihemko ya kisiasa mana kiukweli saiv tunachukiana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
My mama said nothing would break me or lead me astray Who would have guessed I'd let my mind drift so far away You always said I was a dreamer now it's dead I'm dreaming of things that's making my...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Tenzi za rohoni ndio kiungo kikubwa cha imani ya kikristo karibu madhehebu yote Mwanamuziki wa Injili Rose Mhando anasauti inayofiti sana ikiwa umebahatika kumsikia akiimba wimbo mmojawapo was...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ikiwa leo ni Kumbukumbu ya ' Mtaalam ' wa Sanaa za ' Mapigano ' duniani ( Martial Arts ) Hayati Bruce Lee naomba wale wenzangu na Mie ambao tulikuwa tukipenda mno Kuziangalia, Kuiga na kwenda...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne zenye visa visivyochosha kutazama ,hakika ni muvi za karne bongo hawataweza kutengeneza muvi kama hizi teeeeeena. Sultan Tamba na Musa Banzi rudini bhana...
2 Reactions
90 Replies
39K Views
Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchangua wewe ×2 Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia Kukuoa inanibidi, kwa kila hali...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom