Naomba msaada mtu anitumie nyimbo au album nzima ya taarab moja ya zamani (Majina ya nyimbo, album na muimbaji Simjui).
Baadhi ya nyimbo kwa ufupi zilikuwa zinaimba hv:
1. Bado nakuona ndama...
Wakuu Habari zenu,
Baada ya kuona hizi chart za muziki katika hivi station nikashangaa sana nikao Sio mbaya na mimi nikashare hiki yaani kumbe kila redio ina top 20 au top 10 za nyimbo zake...
Straight to the point: Its unquestionable Fact Bongo movies wanazingua kote especially upande wa movie za action! Pamoja na kuzingua huko zipo baadhi zenye afadhali atleast! Kuna vijana wanajiita...
Kundi kongwe la sanaa ya uigizaji na ngoma lililotoa vipaji vingi vya uigizaji hapa nchini, Kundi la Sanaa la Kaole "Kaole Sanaa Group" limerudi ila sasa kwa jina lingine..habari kamili ametueleza...
Wote walikuwa kundi moja ya one direction sasa kila mtu anafanya mziki peke yake. Kati ya harry styles na zain malik nani anajua zaidi au wewe unampenda nani zaidi? Upande wangu mimi naona harry...
" Yooh nipo kanda maalumu/
Nakula Hapi kama Ali Salum/
Mjomba magu ameziba mirija/
Ndo maana siku hizi mademu tunawakopa kama Hadija /
Weka verse yako mkuu halafu mwisho wa siku tutengeneze...
Wakati tukijiandaa kushuhudia nyasi za uwanja wa taifa maarufu siku hizi kama kwa mchina zikipata tabu sana leo hii, nimeona ni bora nikasema machache kuhusiana na uwanja wa mpira wa kumbukumbu ya...
Leo hii mesikia Mzee Yusufu abadili mwelekeo na kuanza kuimba qaswida! mejiuliza maswali mengii mfano?
1. Nini kimfanyacho mtu awapo na nguvu na ufahari asiwe mcha mola kiivo?
2. Katika jamii ya...
Hii ni riwaya mpya ambayo itakuwa inawajia hapa kila ifikapo saa tatu usiku. Inaitwa MWALIMU WA ZAMU mwandishi wake ni JOHN WISSE
SEHEMU YA KWANZA
Usingizi unamruka. Anaamka na kuketi...
Ni riwaya gani ya A.E MUSIBA ambayo ilizuiliwa kabala hata ya kuchapishwa na imetoka hivi majuzi kupitia kampuni ya Orion Nairobi Press?
Mimi mdau wa vitabu sana. Atakayejibu kwa usahihi na wa...
Hamjambo?
Kuna hii taarab/wimbo fulani ambapo kuna kipande kinaimba " Nampenda mmoja, nae anajua..... roho zenu mbaya "
au mwenye nao anaweza kuutuma hapa, au kunipa link
asanteni
Madame Ritha na Salama nashauri mpumzike msalie kuwa advisers na au producers.
Hebu Madame Ritha watafute hao wawili uwajumuishe kwenye timu yako.
Aidha, nashauri uongeze channel nyingine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.