Hakuna msanii anaweza kuwashinda hawa jamaa kwa michano na free style ni wakali sana hata kwa kuwasikiliza huwezi kujutia bahat yao mbaya watanzania hatuupi mziki wa hip hop kiapaumbele one mzee...
Wakuu!
Kuna ile staili ya wachina wanashevu nywele mbele then nywele za nyuma wanazisuka zinakua kama nywele moja!
Basi naomba tu share movie yoyote ile ambayo wameweka nywele kwa style hiyo.. Hua...
Kuna wimbo wa 20% sijalijua jina lake bado,
Ila anaanza kuimba maneno Haya
"Nimeajiriwa Kwenye ajira niliyojiajiri,
Na nasifiwa utendaji wangu wa kazi ni mzuri ..."
Kisha churus yake anaimba...
Aliyeandaa tamasha la Werrason Mwanza ala za uso ‘sileti tena msanii Mwanza’
Weekend hii mkoani Mwanza muandaaji wa Tamasta la Werrason amekula za uso baada ya mashabiki kuingia mitini katika...
Vanessa Mdee na Barnaba wakitumbuiza jukwaani.
Vanessa na Jux wakiperform
Mtwara. Ni rasmi kuwa wasanii wa Tanzania, Vanessa Mdee na Juma Jux wanakua mfano wa kuigwa katika safari ya...
Mimi si shabiki wa skendo zako ila ni shabiki mkubwa wa mziki mzuri kitu ambacho umefanya kwenye wimbo huu congratulations kwa kweli!.
Bonge la trap, hakika umeitendea haki beat umebadilika na...
1.Malela,malela malela...maalela malela wangu namtafutax2
Mara ya kwanza nilisikia upo Kigoma...maalela malela wangu namtafuta alinikimbia mara ya mwisho tulionana mara baada ya kuishiwa
Ghafla nimezikumbuka nyimbo za jeshini, enzi zileee
"safari ya mamaa naiombea baraka, safari ya mamaa naiombea baraka,
nilimwambia mama, kwa heri nakwenda, kulijenga taifa langu la leo,
hiyooo...
Habari ndugu zangu'
Naomba msaada wa anayefahamu kuhusu soko la bongo movie kwa nchi za kenya na Rwanda,
nina Movie na pia na mpango wa kutengeneza nyingi sana hivyo ningependa kujua soko likoje...
Miezi kadhaa tokea ameachia hii nyimbo nimekuwa nikiiskiliza mara kwa mara bila kuchoka, kitu nlichokigundua Huyu kijana ana Talent ya kipekee, na hii nyimbo ni nzuri sana
Nyimbo hii...
Unakuta most of american Hollywood movies unakuta kuna sex action zimewekwa yaani watu wakifanya ngono hadharani mbele ya kamera Na hali wakijua wanaonekana Na wazazi wao Na Ndugu.
Nafikiri hii...
Hivi karibuni Katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Bwn. Mngereza alitoa kauli na onyo kwa wasanii wa kizazi kipya kuwa waangalifu na kufuata sheria za nchi bila kukiuka maadili ya...
Makubwa Ya Kombe La Dunia: Mlinzi Aliyewafungulia Wafungwa Gerezani Hispania!
Ndugu zangu,
FAINALI Za KOMBE LA DUNIA ina maana ya msimu wa kuamka kwa hisia za utaifa.
Na hakika kandanda ina...
RIWAYA: SIKUJUA UNGENISALITI MPENZI (1)
MTUNZI: JOSEPH SHALUWA
SIMU: 0762 458590
EMAIL: joeshaluwa@gmail.com
FACEBOOK: Joseph Shaluwa
INSTAGRAM: josephshaluwa
*****
HALI ya hewa ilikuwa ya...
Habari za siku nyingi wadau kwakweli maisha yalikua magumu sana bila Jf
Nimpongeze melo na jopo lake kwa kuirudisha hewani
Lkn kama kawaida kufa ni kufaana
Baada ya jf kufungiwa Kuna baadhi ya...
SCRIPT ZA IMA.
MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO.
SEHEMU YA KWANZA.
NYUMBANI KWA MKWERE CHUMBANI-ASUBUHI.
Mkwere, kijana, 30, yupo kitandani amelala, pembeni kwenye kochi wapo Erin,mtoto, binti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.