Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kama uliwahi kucheza mziki kwa kuigiza wanavocheza kwenye TV halafu ukaenda kucheza mbele ya kioo, njoo tufanye mazoezi ya huu wimbo. Halafu jumamosi tukutane beach party kuoneshana maufundi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza nitoe rai kwa Basata na TCRA hii video ndani ya wiki isionekane hewani ni kinyume kabisa na maadili ya mtanzania Na pia video zote kutoka nje zisizo na maadili ya nchi yetu zipigwe...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Baada ya kipindi kirefu watu wakilalamika kua instagram inaongoza kwa kunyonya mb nyingi hivyo vifurushi kuisha mapema, sasa vodacom wameamua instagram iwe free kama facebook Utaipata huduma ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mi kwa upande wangu naona kana za ufanano, wewe je unaonaje?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi Wa kuangalia movie!!! binafsi Mi ni mpenzi sana Wa kuangalia movies na nishaangalia nyingi sana ila bado cjakutana na movie Kali kuliko series za bourne ,ukianzia identity yenyewe...
8 Reactions
132 Replies
23K Views
. Na Sangu joseph . Kwanza nianze kukupongeza Msanii Diamond platinumz kwa juhudi unazozifanya hasa kwenye Sanaa yetu ya Muziki nchini maana burudani peeke iliyobakia kuiwakilisha nchi yetu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukumbusgane ulizozikubali zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini. ngependa kujua Zlatan mnyama yupo wapi ni majeruhi bado au vp maana sikuhiz simuon hata kwenye kusugua bench.
1 Reactions
7 Replies
956 Views
Episode 1 "Ogygia" T-Bag anaachiliwa toka kifungoni na anapata picha inayo muonesha Michael yuko katika jela mpya nyingine. T-Bag anaiyonyesha picha kwa Lincoln,ambaye anagundua neno la siri...
8 Reactions
49 Replies
14K Views
Uyu jamAa huenda akawa ana tumia ndumba maana haiwezekani jamaa tangu tulipo anza sema atapotea soon lkn wapi stl jamaa yuko na anaongoza kwa Ku hut Ona kina darasa, man fongo, alikiba, Mr blue...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Asante daimond kwa nyimbo hii kali sana..acha waendelee kubana mapimbi wale. but hii age restricted iondoeni kwenye youtube siyo nzuri. naona hii beat kijana Laizer hajausika hapa tafadhali sana...
7 Reactions
67 Replies
33K Views
Hey guys ,,naomba mnitajie nyimbo nzuri zenye kuleta hisia ,,yaan unausikiliza wimbo mpaka unajisikia vizuri ,,,ziwe za kizungu,kiarabu,kiswahili,,mnaweza rusha hapa au unaweza taja jina la nyimbo...
6 Reactions
67 Replies
112K Views
Habari yako, Nataka kujua huo wimbo wa Afande Sele uitwao Morogoro ambao shooting imefanyika barabarani, au mkuu alichanganya na Dar mpaka Moro?
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Nimeona picha za jay z akiwa bongo,hivi amewahi kupafomu bongo??? Mimi nimekuja mjini kutoka kolomije jana tu ,msinitukane jamani
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Huyu jamaa amejiwekea desturi sikuhizi kutoa nyimbo baada ya karne nzima,utadhani hana mashabiki ukimilinganisha na mpinzani wake, anajitahidi kutoa nyimbo na aim yake kubwa ni kutoa nyimbo ambayo...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Naona hawa kwese sports wame dominate sehemu kubwa ya vipindi.. Hata game za EPL jumamosi wanachukua feed kwa hawa jamaa..au Kuna uhusiano wa TV 1 na hawa jamaa?
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Ilikuwa zaidi ya Burudani, now nimejua wazi why uzinduzi ulifanywa Kenya.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wote ambaye ni wapenzi na wafuatiliaji wa tamthiliya ya siri za familia tukutane apa tujuzane na tujadili yanayojiri kwa pamoja Karibuni sanaa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kilio chanu cha muda mrefu nilichokisikia huku JF kuhusu watu kukataa kuangalia Bongo Movie nimeona niulize Swali hili: Jamani watanzania wenzetu kwanini hamuangalii bongo movies...
4 Reactions
158 Replies
13K Views
Wasalaam wakuu,kuna wimbo nineusikia mahali fulani na baadhi ya mashairi yake ndio haya Wimbo ni wa gospel .... Mimi ninae rafiki, Pendo lake la ajabu kwangu Alikubali mauti,ili anipate mimi Kwake...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom