The Odyssey ni episode film iliyotoka mwaka 1997; inayogusa maisha ya kifalme na safari ya mashujaa walioondoka nyumbani kwenda vitani. Wakiwa vitani walipambana kwa juhudi na akili na...
Kuna nyuzi nimesoma ya mbunge huko kenya, aliyewahi igiza kama rukia, basi nikakumbuka mchezo huu uliopendwa sana kipindi hicho.
Uhaba wa Television uliwalazimu wengi kuangalia kwa majirani, kwa...
waungwana habari za siku tele,
Ninaomba mwenye link ya download za family matters comedy, desmond, perfect strangers na wengine naomba, mimi ni mpenzi wa comedy.
Siku njema.
Jana nikiwa naangalia kipindi cha Friday night Live niliwaona young killer na Young D mmoja akionyesha ukomavu na utu uzima huku mwingine akiendelea kuishi kwenye ulimwengu uliopita.
Nitakuwa...
Wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki madung'a iembe yanahangaika.......
Ni track ya zamani sana kibongo flava..
Naomba kwa yeyote mwenye nayo aipandishe hapa
Asanten sana
Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kisemavyo, endapo msanii Diamond Platnums asingekuwapo basi bongo flava kimataifa isingevuka boda.
Mpaka sasa kimataifa ni yeye ndio amekuwa kama nembo ya bongo...
Wakuu naomba kuuliza swali la fasta, nimesikia wimbo flani ukiimbwa kwa sauti ya aslay...KWELI NAWATONGOZAGAAA, WANANIKUBALIAGAA...........
Naomba kujua ni wimbo gani huu tafadhali?
Huyu ndio msanii wangu bora wa kike kwa sasa,ana sauti nzuri,melody inanoga, na producer wake anatoa audio njema kabisa.Pambana dada muziki wako mtamu.
Hunijali kwa chumvi (hunijali kwa sukari taabu nyingi ninapata na watotoooo). Napata shida na watoto
Hunijali kwa mavazi hunijali kwa chochote aaaa aaa napata shida
Unataka kuoa mke wapili ni...
Zamani kidogo kipaji cha kurap ulikuwa ni uhuni ila kadri muda unavyoenda dhana hii inatokomea,
Vijana wanafanya mambo mazito na vipaji vyao ogopa mtu wa elimu yake sisemi wasio na elimu wanafanya...
Sijaelewa kinachoendelea kwa fuvu la binadamu kukutwa uwanja wa taifa wakati nyasi za bandia zikitolewa na kuwekewa nyasi asili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanahiphop maarufu nchini Tanzania, Roma na Stamina wanaounda kundi la ROSTAM. Ikiwa na maana ROma na STAMina, mapema leo waliuLIzwa na Perfect crispin kupitia 255 ya XXL inayorushwa na kituo cha...
mambo vipi wakuu
embu leo kwenye huu uzi tujuzane kidogo kuhusu hili shindano
mwaka huu lipo??
na je kwa tanzania wameshaanza usahili?
na ni vigezo vipi unatakiwa uwe navyo ili uweze kufanya...
Msanii Selementally ambaye ameachia kazi yake mpya inayoitwa 'Nataka kununua Dar' aliyomshirikisha msanii Belle 9, amesema anakusudia kulinunua jiji la Dar es Salaam ili arekebisha baadhi ya vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.