Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mke wangu alianza tabia ya kuimba moyo sukuma damu... kila tukiwa na argument. Nikipiga simu yake inaimba same melody hadi ikanikera... Nikakumbuka kitabu cha walukaga the blacksmith pale...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
NICE GUY OF CENTURY SEHEMU YA 01 Ni katika supermarket moja alionekana Baba akiwa mke wake pamoja na mtoto wao mdogo wa mwisho katika uzao wao,mke alikuwa alilalamika kuwa hela hawana...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za jumapili wakuu Naomba tupeane album tamu za riddim wengine wanaita sweet reggae kwangu mimi hizi hapa naziskza mara kwa mara 1/ Collie Buddz 2/Country bus riddim Tupieni nyingine basi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wish you all the best.......
1 Reactions
27 Replies
2K Views
What a wonderful Soul Queen - Legendary forever and forever will be loved!
0 Reactions
0 Replies
688 Views
WIMBO: YESU WEWE Na Ev Mhugo Hantish (The sound of worship) Autro Mmmmh! X2 PREACHES "Ndugu yangu, jiulize wewe mwenzangu bila Yesu ungekuwa wapi leo hii. Bila shaka hujui, hata mimi sijui"...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msikilize bi Kidude hapa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeona ni vyema tukakumbuka zile ngoma za miaka ile ya 2005 kushuka chini mpaka 1990s kwa kushare mambo haya ya kitambo. Tafadhari dondoshea vibao ulivyo navyo vya miaka hiyo makundi mbalimbali...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
WIMBO: YESU WEWE Na Ev Mhugo Hantish (The sound of worship) Autro Mmmmh! X2 PREACHES "Ndugu yangu, jiulize wewe mwenzangu bila Yesu ungekuwa wapi leo hii. Bila shaka hujui, hata mimi sijui"...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1) Hivi global TV na bongomikasa TV ni za nani? 2)Hivi faida (profits) za kuendesha TV kwenye mtandao iko je????? 3)Nikitaka kufungua yangu taratibu ziko vipi?????? 4)Nitafurahi nikipata namba za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
" Kutokana na kuwepo Kwa malalamiko mbalimbali Kwa wasanii Wa muziki na filamu nchini juu ya kuibiwa Kwa kazi zao.je wanauelewa juu ya sheria ya hakimiliki?"
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Nimekuwa nikivutiwa sana na uimbaji wa hawa jamaa kwny huu wimbo na video yake ambayo sichoki kuitazama.mwenye lyrics za huu wimbo aweke hapa tafadhal maana nmetafuta sana ktk source nyingi bila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
kma wewe unapenda mziki wa richmavoko karibu tujumuike pamoja kwenye group ambayo ipo kwa ajili yakusapport mziki wa richmavoko pia utawez kupata updates exclussive kabisa make mavoko tupo nae...
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Wakuu, hasa wale tunaopenda michezo ya kubeti almaarufu kuweka mikeka. Kuna kampuni nyingi za kubet ila M-Bet ni pasua kichwa. Kuna mkeka nimeshinda kihalali kabisa, ila system yao inasema...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumbe naye alijilipuia kama Mrundi na mkewe Salva Rweyemamu! makubwa haya,haya uwanja wenu watu wa Lesta
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wahenga tukutane hapa, ngoma ya utoto wangu hii early to mid 90's.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mbuzi wakipigana vibega wakati wakitimua mbio kutafuta mshindi wa shindano lililopewa jina la 'The Southen Sun Fillies Frolic' lililodhaminiwa na Hoteli ya Southen Sun, wakati wa mashindano ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom