Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kweli kila nyakati na mambo yake, nakumbuka michezo ya maigizo kipindi hicho ilivokuwa ina trend. Enzi za kaole kila jumamosi baada ya taarifa ya habari tu, watu macho kwenye TV, mambo hayo...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Naomba sana,Wachezaji wa Simba na viongozi mtuunge mkono ktk group letu la what's up la Umoja wetu ni ushindi wetu la mashabiki wa Simba kili baadhi ya mambo yawe yanatufikia na kuwafikia,lengo...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Uwa namsikiza saana huyo bwana, kwa upande wangu nakiri wazi Hakuna msanii mwenye kugusa hisia kwa namna taamu na ya kipekee kwa nyimbo zilizojaa ujumbe na ushawishi wa ajabu kama Tosh. Mtu pekee...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
When I die-No mercy Count on me-Whitney Houston
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Wasanii hapa nchini either wamekosa elimu au wana elimu sana wamekosa maarifa au Life skills ya kazi zao. Tutakubalina wote kwa pamoja kua wasanii wote kabla ya kutoa kazi zao midomo kwanza...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Hii channel ni nzuri sana ila shida ni moja hawaandikiki jina la muziki wala alieimba. Wakati wimbo unachezwa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna series inaitwa RINGER, ni kali kupita maelezo, ina story nzuri sana. Itafute ndugu
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wakuu salaam! Mie si mdau wa vilevi wala wadada, ila ulevi wangu ni movies hasa za actions. Nimeangalia nyingi kdg Iris (I&II), 2 weeks (haikunivutia) Hawaii, Jumong, the land of wind, Nikita...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
kuna wale wapenzi sana wa kuangalia TV SERIES za kizungu na Asia. Basi wala usiwaze sana utapataje hizo series. kwangu zinapatikana za kila aina ni suala la wewe tu kusema kuwa unahitaji SERIES...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
mambo vipi wa 254...kuna huu wimbo wa bahati aliomshirikisha rayvanny,nmeusikiza ila kusema ukweli bahati amechemsha.amepeleka aibu bongo ata heri angebaki tu uku Nairobi nngemvumilia.rayvanny...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Bahatikenya na rayvany toka wasafi labelled wamefanya yao kwa ngoma hii ya nikumbushe. Kuipata na kuisikiliza nenda na upakue katika website ya wasafi uone mautundu ya rayvany. #Karibuni...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Anaeweza kuweka audio hapa anisaidie(kama anao),me nimeshindwa.... Amepita mule mule kune "muziki"... sijui ni kauvujisha au vipi,mana sijaona ka ameutoa officially....meaning hajapost chochote...
8 Reactions
97 Replies
22K Views
Wakuu Kuna bonge la version la huu wimbo wa Muogo wa Jang'ombe ulioimbwa na marehemu, nguli na mkongwe wa muziki huu wa mahadhi ya pwani Bikidude badae ukaimbwa na wengine kutia ndani LadyJaydee...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu, uzi huu ni maalumu kwa wapenzi wa Mr bean. Tafadhali share nasi video uliyoipenda ya Bean.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Baada ya kutoa single ya lover boy, msanii mahiri kabisa barnaba boy ameachia hit single nyingne inayokwenda kwa jina la "lonely" Wataalamu wa mambo wanadai kwamba hii ni dedication kwa mzazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Last time we made love-Tanya Blount Dru-Stay with me Get Out-Changing Faces Promise (Rmx)- Jagged Edge
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Pata kutizama video ya Muimbaji wa Nyimbo za Injili Rehema Lupilya. Ni wimbo wenye mahadhi ya Raggae, Ulishika namba moja February 2017 Usisahau ku subscribe youtube Instagram: @rehema_lupilya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mkongoman Thelathini na Tatu anasauti yenye mvuto, sio zile zakujikamua. Sikiliza hii dk 4:26 'Maumivu'
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Back
Top Bottom