Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwa simple observation yangu nimeona hiki chombo hakina nguvu kama Nay Wa Mitego alivowaimba. Kwa maana tumekuwa tukisikia wakitoa maonyo kwa wasanii kadhaa na wengine kuwafungia kabisa. Msanii...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
SEHEMU YA KUMI THE GIRLS IN ISLAND 10 “nshukuru kama una uwezo wa kukumbuka kwa kiwango hicho. Hivi unafikiri mimi nipo kwenye hali gani toka uliponionjesha asali yako?... unafikiri moyo...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Chorus – Banana Zorro] Sizonje hii ndio nyumba yetu Milango ipo wanapita madirishani Sizonje ndio nyumba yetu Milango ipo wanapita madirishani Ingia uyaone, maajabu ya nyumba yetu Ingia uyaone...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za week end jumuiya ya JF? Naomba msaada mtu mwenye wimbo au link ambayo naweza pata huo wimbo. Nimejaribu kutafuta bila mafanikio.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wakuu....kuna nyimbo ya taratibu ya kiingereza yakitambo ivi....nimeisahau jina na mwimbaji pia ila naijua baazi ya matukio katika video ya huo wimbo.iko ivi..... mwimbaji ni mwanaume na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Mikono salama- hii imeigizwa na Irene uwoya,jokate,jb ,Adam kuambiana na wengine wengi, hii movie ni noma sana. 2.kigodoro- hii imeigizwa na wasanii kibao, kama riyama,hemedy,diana,mama...
0 Reactions
9 Replies
14K Views
SEHEMU YA KUMI NA MOJA THE GIRLS IN ISLAND 12 Wakati tupo ufukweni nikimsubiria Shenaiza afanye maajabu yake ili tuondoke pale, nyuma yetu tulisikia mtu akipiga makofi. Tulipogeuka nyuma...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Udaku News Picha za mapokezi za Mshindi wa Tuzo ya AMVCA2016 kipengele cha Movie bora ya Afrika Mashariki elizabeth michael ‘Lulu’ wakati akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
THE GIRLS IN ISLAND-11 “kuhusu swala la kutoroka na kuwaacha wenzangu huku ni swala gumu sana Shenaiza.” Niliongea huku nikiwaonea huruma wale marafiki zangu tuliowaacha. “acha mawazo hasi...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Masaa machache yaliopita Wasanii nguli wa kenya maarufu kwa jina la Sautsol Wametoa Filamu yao mpya waliomshirikisha msanii nguli wa Tanzania Alikiba #kingkiba . . . Filamu hiyo iliyoachiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SEHEMU YA TISA THE GIRLS IN ISLAND 09 Alipomaliza kuoga, alitoka na kunichekea baada tu ya kuniona. “wewe ni mwanaume wa shoka.” Aliongea malikia na kunilalia kifuani. “sasa naweza...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Nilimsikia Ruge akihojiwa na Salama kwenye mkasi, akasema kuna kituo kimija cha redio hakipigi nyimbo za msanii fulani kwa miaka miwili sasa!! Baadae nikaanza kusikia minong'ono mitaani na...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
SEHEMU YA NANE THE GIRLS IN ISLAND 08 Baada ya hapo nikapelekwa jela ambapo nilibaki nimeduwaa baada ya kuona jela kubwa kama hiyo iliyokuwa na watu zaidi ya milioni mbili kwa hesabu za haraka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kama umesha-download au unayo UTORRENT (software inayokuwezesha kudownload movies,games na n.k) tumia site hii ambayo utaweza kudownload movie zako kupitia UTORRENT. ni site nzuri sana hiyo apo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeipenda sana hii tamthiliya ya Siri ya Mtungi. Kwanza ina reflect uhalisia kuanzia jina la tamthiliya, uigizaji, mazingira, lugha mpaka majina ya characters. Majina kama vile Cheche, Mtungi...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Enzi zile, miongo miwili mitatu ilopita, tulikuwa na Radio moja tu; RTD ilokuwa na Idhaa ya Biashara, Idhaa ya Taifa na External Serive (kimombo). Ilikuwa rahisi sana kujua miziki ilovuma maana...
7 Reactions
113 Replies
41K Views
Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide... Namisi sana aina ya miziki...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna kiwanja kimoja pale jirani na Mlimani city cha kuitwa KATALUNYA!! ni nani founder wake!? nataka kumpa pongezi tu kwa ubunifu na ukisasa kiasi chake kwa biashara hii ya vileo kulinganisha na...
5 Reactions
78 Replies
9K Views
Zangu hizi hapa. 1.24hour. 2.The seeker. 3.Robin hood. 4.Smillvile. hizi series unaweza kuangalia na familia. muv.1 Avatar. 2.Blood Diamond. nipe za kwako...
0 Reactions
295 Replies
32K Views
SEHEMU YA SABA THE GIRLS IN ISLAND 07 “BAINA NA KELI” Ilisikika sauti kutoka nje ya lile bwawa. Nikashangaa kuona wale wasichana wakiniachilia haraka na kusimama kikakamavu. Nilipotupa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom