so far wasanii wengi sana wa hapa tz wanaimba songs zisizo na maana, na si hilo tu bali hata majisifu yasiyo na maana, FA kato wimbo wa Ameen na Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net ...
Habari wanajamvi,natamani tuinue na kukuza mziki wetu.
Naomba tulitumie jukwaa hili kuwa impress wasanii wetu.
Hapa tutafanya nini na nini?
1.Tutajadili kila wimbo mpya utakaokuwa ukitolewa na...
Kuna wasanii ambao wanajua muziki sana hapa Africa to the extent,
Sema media imetawaliwa na watu wa aina fulani hivi huwa hawasikiki.
Ukiachana na Legends Kina Makeba, Yossou N' Dour, Fela Kuti...
Habari wana Jf, ni siku nyingine tena ambayo tumepata kibali mbele za mwenyezi Mungu kuishi tena, siii kwa akili zetu wala kwa ujanja wetu kufika hapa tulipo bali ni kwa NEEMA tuu,
leo naomba...
Habari zenu waungwana,
Msanii bora wa RnB Tanzania ambaye nyota yake inazidi kung'aa siku hadi siku amekuja na kiba kipya kinaitwa Love Potion. Kulingana na ukurasa wake wa Instagram Belle9...
Nimeona one episode ya hii series..
Cuba Gooding Jr as O J Simpson
John Travolta as Robert Shapiro
David Schwimmer as Robert Kardashian
Naona hii series itakuwa big hit
kuna mtu kashaitazama...
Familia ya aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Angola Jonas Savimbi imewashtaki watengezeji wa filamu ya Call of Duty kuhusu vile ilivyomuangazia katika mchezo huo wa video.
Watoto 3 wa Savimbi...
Hivi ni utaratibu gani hutumika katika kuuziana kazi ya sanaa iwe nje au hapa nyumbani, mfaano mtu ana nyimbo au story ya movie taratibu gani hutumika kununua/kuuza kwa mwingine, na kama mtu...
Hello, nimependa na wewe mwenzangu usikilize hadithi nzuri. Utafurahi naamini. Ili usipitwe na hadithi tamu na nzuri nyingi kama hizi, unakwenda download Hadithi App kutoka PlayStore kwa kubonyeza...
Kundi la Mziki la Navy Kenzo linalo Undwa na Nahreel na Aika Wameachia Wimbo wao mpya unaitwa Kamatia.....
Hapa nimekuwekea Sehemu ya Kudownload Wimbo Huo Hapa>>>mkito.com/song/kamatia/18570…
Tuzo hizo za nchini Uganda zinazojulikana kama HIPIPO zimeshuhudia Diamond akiendelea kumgalagaza vibaya sana msanii anayekuwa overrated na mashabiki wake wakati uwezo wake ni butu.
Vipengele...
Kijana anayeiwakilisha vyema Tanzania kila kona ya dunia ameibuka tena na Tuzo mbili kama msanii bora Afrika kwenye tuzo za TOOXCLUSIVEAWARDS na msanii bora wa Afrika kwenye tunzo za TRENDS...
Hitmaker wa Mwana,Ali Kiba amedai yeye anamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini na ufujaji wa kipaji.
Mwimbaji huyo ambaye amekuwa akishinikizwa na mashabiki wake kuachia wimbo mpya...
Habari wana Jf,
Mimi hupendelea burudani ya muziki mara nyingi nipatapo muda wa kupumzika,au hata safarini na huwa nafurahia nyimbo za aina zote ilimradi ziwe nzuri.Kwa muziki wa nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.