Kuna nyimbo ya zilipendwa ya zamani kidogo naitafuta sana nadhani inaitwa tabu ila sina uhakika na jina aliyeimba simjui ila inaimbwa ivi. . . ." ni wewe kipenzi nikupendae, kwa jina unaitwa tabu...
Tika ngai na vanda na ngai
tika ngai na benda nzoto
obandi kopanza na basango bipayi biso likambo o ngai na nani eh
Let me be on my own
let me break the relationship
before you start spreading...
Utabeba vibovu kuyakimbilia mapenzi.
Usijeitaka ndoa kwa pupa...usikimbilie mume utaukondesha moyo.
Naupenda sana huu wimbo. Melody, beats na mtiririko wa mashairi.
Ni Kassim Mganga...
Mwimbaji mahiri katika band inayoongozwa na Ferre Gola Chikito hicho kipaji na hasa sauti anavyoipangilia tena bila kuchoka je amesomea shule ama kazaliwa nacho? Anavyonichanganya ni namna...
Nahisi kati ya nyimbo zote zilizokua relized mwisho wa mwaka huu Justine kajitahidi sana kurudi vizuri kwa "Purpose"
Nlikua na mashaka kwamba ujio wake mpya unaweza kubuma lakini zote zimekua...
Hebu mchek huyu jamaa eti..
Bora nikose pesa maLi/
Jumba gari, niwe na wee/
Nifanye kazi bila saLary/
Yote heri niwe nawee/
yani hapo mnalala nje na hamli..Obvious no survivaL, no Love...
wanajamiiiii msaada tutani.....kwa anayeijua nymbo mpya ya alice saseni aniambie,, naiskiaga tu ikipigwa clouds ila sijaijua inaitwaje nataka download...plzzz!!!!
Kama mjuavyo hasa kwa wakazi was dar!
Jana huyu kijana kadondosha show ya maana kabisa kuwahi kutokea,.... ningekuwa nimemaliza kula nyama ningeomba kijiti cha kujichokonolea.
Jamaa yupo...
Nnaplan ya kwenda swimming sehemu nzuriiiii kama ramada au ledger plaza au double tree sitaki coco nilizozoea nikabarizi na mdada flani hivi ila sitaki nifike pale nitoe macho kiingilio, kwani...
wasalaam wakuu, heri kwenu nyote, mm ni mdau wa muzik, ila ndo walee wa "shabik anaban nyimbo, na show anaingia free" hahaha, wakuu nimekuja jamvini mnisaidie kuna wimbo ameimba JOSE MTAMBO...
Nice one from the homeboy. Safe to say Joh is second to no one in Bongo, when it comes to word-plays. Tight deliverance, tight beat, tight hook, tight verses, tight video, tight everything. 9/10.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.