Hawa watu bado sana halafu nimejua leo kuwa wananjaa.
Iweje msanii mwenye jina kama Young D, Young Killer, Barnaba, Shetta, Mkatoliki, unatumbuiza local club/bar siku ya skukuu??? Hata mialiko ya...
Wanamuziki Diamond Platnumz na Davido
Wameibuka Videdea Baada ya Wote Kushinda
Tuzo Moja Moja Katika Categories Tofauti
....Mashabiki wengi Africa Macho yalikuwa kwa
hawa watu wawili kuona...
Nasikia hii bendi imeingia siafu na kufanya meanadada annet kujitoa na kuunda bendi yake kisa #papaaa aliyekuwa akimtunza kuamisha majeshi kwa bidada mwinginee.haya wenye ubuyu wa kutosha...
habaree za time hii wadau. style aliyokuja nayo huyu producer imenifanya nihoji kua ni moja kati ya genius prods in world au jamaa ana bahati?
Hebu cheki kanuni yake
kick + claps + hats + hey...
Ni kwa muda wa wiki mbili mfululizo zilizopita ambapo ile "HIT & HOT SONG" ya MWANA iliyoimbwa na msanii ALIKIBA ilishikilia nafasi ya pili kwenye chart ya muziki ya iTunes(ambayo ni kampuni kubwa...
Jana nilikuwa Swaziland, ajabu ni yule mwenyeji wangu alipokuwa anaplay nyimbo za Bongofleva kana kwamba anaelewa maudhui yake, ajabu ni kwamba nimezunguka nae siku mzima hakucheza nyimbo yeyote...
Musician Eddy Kenzo has made Uganda proud again by scooping the BET International Viewers choice award becoming the first East African artiste to win this prestigious accolade.
Kenzo scooped the...
Habar wanaJF?
Wwapenzi wa burudani, wapenzi wa bata( team kula ujana). Nachukua nafasi kuwataarifu kwamba new maisha club inahama masaki na kuelekea makumbisho.
Nyuma ya millenium tower...
Habari wandugu, nimewahi sikia zile rnb za zamani zilizohit ambazo zimepigwa kwa mtindo wa rege, nimejaribu kutafuta mixing zake kwa you tube na google nimezikosa, kuna mtu anaweza nisaidia...
Hii video naingalia mara nyingi lakini kama siielewi, inshort ni video ya kawaida sana, rangi ya kawaida pia kiasi kwamba hata Nisher au Hascana angeweza kutengeneza nzuri zaidi ya hiyo...
Juzi niliweka hii post lakini siioni.natafuta mwenye link au aliye na nyimbo za hamasa za vyama hivyo,hutumika sana sana katika kampeini. nazitafuta kwa kazi maalum.
nitashukuru
Wadau kuna movie niliona kitambo ila jina sikumbuki, ni horror movie na kisa kinaanzia pale kijana mmoja na girlfriend wake walipoenda porini kwa ajiri ya mapumziko!!
Huko porini wakakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.