Wakuu huyu msanii level nyingine kabisa karibu kila wimbo alioimba mwaka 2014 hata za kushirikishwa zimekuwa nominated kwenye tuzo za killi music award. Mfano wa hizo nyimbo ni;
1.gere-joh, nick...
Please kwa anaeufahamu huu mkoa naomba anisaidie kuniambia kama lindi kuna sehem gani za kitalii , sehem gani za burudani ili siku niende kama vp. thanks
Heading inajieleza, namaanisha kwa jinsi watanzania tusivyopenda mtanzania mwenzetu atuzidi saana, yaani kama kutuzidi atuzidi kidogo tu, aendelee kuwa wa kawaida.
Naamini kabisa kwa tabia hii...
Mashabiki tunatoa support kubwa kwa wasanii kuliko tunavyo fikiri..
Kuna baadhi ya wadau naona wanarukaruka hili lakini unapozungumzia mafanikio ya mwanamziki asilimia kubwa sana ni sisi kwa...
Jamani wanajamii wenzangu naomba MwanaJamii yoyote ambaye anajua ama alishafatilia mmiliki wa website ya Bongo5.
Maana kwa tafiti chache niliyofanya inaonesha wazi Clouds Media Group wana ubia...
Sikiliza nyimbo ya ACT inayofafanua vizuri malengo ya ACT.
ACT inandelea kukua na kuchapa kazi.
Muda ni huu wa kujiunga na chama kinachoipigania Tanzania bora...
Hawa EATV wana matatizo gani? Inakuwaje watangazaji wake wazuri na MaDJ zake wazuri wote wanakuwa poached na Kampuni nyingine..?
Kaondoka Adrian
Kaondoka Mafuvu
Leo kaondoka DJ D Ommy
Ile collabo mpya ya muimbaji wa Afrika Kusini, Donald na Diamond Platnumz ni mradi ambao Donald anauchukulia kwa uzito mkubwa, kiasi ambacho hajataka kuchelewesha sana mambo.
Baada ya kuingia...
Je,wewe ni kijana mwenye kipaji cha sauti?Je sauti yako inaweza kutumika kurekodi matangazo ya redio?Kama jibu ni ndio,basi jiandikishe nasi leo ili ushiriki usaili wa sauti kwa ajili ya...
Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter.
Nisaidieni
Natanguliza shukrani kwa niaba yake
Jamani, Ben Pol can sing.
Yani anasisimua sana na kipaji chake. Aliwahi kusema kati ya simu kumi anazopokea, nane ni za kuombwa kupiga chorus. Hao watu wanaona anavyoimba vizuri ndo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.