Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
A talent is jus a talent no matter how many criticism and hate but the guy is still doing some good work. Kazi nzuri sana hongera Diamond hongera Iyanya. Watch "Iyanya x Diamond - Nakupenda...
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Leo nimeamua nimwagike kuwahusu Bongo movie, wanaofanya hii shughuli hasa kampuni zilizoshika soko. Sitaki kuamini yasemwayo kuwa wengi wenu hamkwenda shule na hii kazi mnaifanya kiujanja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sipati picha kama huu wimbo wa shikorobo angeuimba diamond nahisi ungekua wimbo wa taifa maana kwa hadhi ya shetta na hadhi ya wimbo ulipotakiwa kufika bado sana maana wimbo ni mkali sanaaa
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kabla sijamwagika, ieleweke tu kuwa mimi nipo kwenye hii industry pia, na ninakaribisha walio kwenye hii game wachallenge hoja, simaanishi mashabiki au wasikilizaji wa muziki, bali producers na...
2 Reactions
65 Replies
16K Views
okey!!... kwa wale walio iona movie ya escape from sobibo, hv ile ni story ya kweli? maana! tukumbushane basi baadhi ya matukio amaizing kama ya wale wafungwa kuruka juu ya senyenge na kutokea...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi ni kwanini muziki wa Jazz wenye asili yake huko nchini Marekani sio maarufu hapa nchini Tanzania? Miziki ya aina nyingi kutoka nchini Marekani ni maarufu sana hapa kwetu kama vile Reggae, Hip...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
For a parent, few things are as wonderful as watching the children enjoy day after day of fun in the backyard. It's a place where toddler involve with fun games. Trampolines are a great source of...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Iyanya kaachia video:I check Source:Bongo5
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iyanya kaachia video:I check
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Hivi Millard Ayo kashasepaga Clouds au? Maana namsikia Musa siku ya 3 hii Amplifaya! Leo nilichelewa kidooogo Kutune Amplifire Clouds Fm ila Nmekuta Baba ashibae Musa hussain Yupo Kwa Kiti cha...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Ommy kiki hizi huziwezi. It was good just a week ago. Haya the minute ukaanza ubaba na umama Wanjera ndo mambo yakawa mabaya. Sio kila mtu nyota yake iko kwa wanawake. Mwenzio Mondi huwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nimeamua nimwagike kuwahusu Bongo movie, wanaofanya hii shughuli hasa kampuni zilizoshika soko. Sitaki kuamini yasemwayo kuwa wengi wenu hamkwenda shule na hii kazi mnaifanya kiujanja ujanja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau!! tutiririke na mangoma ya hip 2 hiphop duniani tuongeze siku!. tujuzane, tuskilize tujifunze Pia.. tuanze: *forever young_ jay z *home boys_ the game *am a boss_rick rosee *i see...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau!! tutiririke na mangoma ya hip 2 hiphop duniani tuongeze siku!. tujuzane, tuskilize tuongeze siku.. tuanze: *forever young_ jay z *home boys_ the game *am a boss_rick rosee *i see...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DPlatnumz kakubali naona jamaa kadhamiria kuliBRAND kabisa jina lake AFRICA!! Source;BONGO5
0 Reactions
66 Replies
11K Views
1.Shughuli zake hasa ni zipi maana anaonekana kuwa na exposure kubwa sana ghafla. 2.Je,mambo ya umeneja wa wasanii ameanzia kwa Chibu au kuna wasanii amewahi kuwameneji...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau, Tunataka kuona ipi itakuwa ni event ambayo itabamba hapa jijini Dar siku ya j'mosi May30, kati ya Instagram Party vs Nyama Choma. Kwa maneno mengine, Instagram Party ipo kwa kijana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nikitizama project za one8 na one campaign. Moja ya vipaji nilivyovishuhudia humo ndani ni wabongo, mtoto wa kihehe Alli kiba na mtoto wa kimanyema Diamond Platnumz. Nimesikia zile...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Salaam wadau. Hope u are doing just fine......well, kama uzi unavyojieleza wee unaelewaje unaposkia neno MIXTAPE, msanii anafaidika vipi kwa MIXTAPE. MIXTAPE hutoka wakati gani labda...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom