Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Dah! Sijui kama wana jf wenzangu mmeshawahi ona hii kitu. http://m.youtube.com/watch?v=r_NKP070B6c . video kwa hisani ya NTV Kenya. Nimecheka kidogo! Lakini sikujua inamaanisha nini..?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa anajua sana kwa hii nyimbo mpya ya usiofie wachanga wasio mpenda watasubir sana
2 Reactions
44 Replies
9K Views
Chanzo : PICHA TAMU ZA WAMAMA HAWA>>>>KAJALA NA SHYROSE ZAWAGUNZO MTANDAONI ~ Blogu ya Wananchi
0 Reactions
11 Replies
12K Views
Kiasi cha wiki mbili tu zilizopita endapo pangetoea wa kuniuliza nawafahamu waigizaji wangapi wa Kihindi, jibu lingekuwa mmoja tu, Amitabh Bachchan! Na kama angeendelea kunitaka nitaje japo filamu...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wanajukwaa natafuta series ya kikorea inaitwa Queen Seon Deok, ambaye anayo tafadhali. Kama itakuwa HD version itakuwa vizuri zaidi, napatikana dsm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mzigo ushamwagwa hadharani. Pitia kule mitaa ya YouTube tushirikiane kusema nae
3 Reactions
150 Replies
27K Views
Wanajukwaa natafuta series ya kikorea inaitwa Queen Seon Deok, ambaye anayo tafadhali. Kama itakuwa HD version itakuwa vizuri zaidi, napatikana dsm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii kitu niliishudia ya kwanza nikiwa Chalii na niliikubali kinoma, sijui iliishia wapi. Na washkaji walioshiriki, kina Rage, Big Mike, Adamiz, Snazz tha Dictator na mchizi wa Ghana yule alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
860 Views
WIMBO MPYA: YAMOTO BAND – NITAKUPWELEPWETA Pamoja na kuwa na midundo na sauti mwanana lakini naona huu wimbo una maudhui mengi ambayo sidhani kama yamepitia uhariri wa mamlaka husika...
0 Reactions
240 Replies
62K Views
Kuna wasanii wengi tu bongo ambao ni wakali sana na jamii inajua kwamba ni wakali but hawajabahatika kupata tuzo hata moja nchini (esp Kili Awards) japokuwa wanahits nyingi/walikuwa na hits nyingi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ziggy Dee - Enomaki Dudubaya - Nakupenda mpenzi K-sal - Mkiwa Mez B feat Ray C - Kama vipi H-Baba - Mpenzi Bubu Bob Haisa - Nipeleke kwa mama (Nipe mgongo) Matonya - Violet Alikiba - Nakshi nakshi...
1 Reactions
30 Replies
12K Views
Japo Kala kamficha vibaya sana mchizi wa kitanga lakini idea ni kama ya kikao cha dharula ya Prof Jay ISIKILIZE VIZURI UTANAMBIA
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Baada ya kutizama hii video nahisi wasanii kama Alikiba na Omy Dimpoz wataachwa nyuma https:/youtu.be/8jplupIma68
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1. FEZA KESSY. Huyu alkuwa mwakilishi BBA. Alpochaguliwa tu akakamata fursa kwa kuingia studio na kutoa ngoma, akiamini kuwa BBA ndo kujua mziki. Honestly huyu dada hajui kitu ndo mana tangu atoe...
0 Reactions
142 Replies
21K Views
jina la wimbo- MISSING J.K Douwload free at Limbe - Music - HulkShare or buy it at Limbe Music, Lyrics, Songs, and Videos
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali ingia www.miniclip.com. Hapa utakutana na games nyingi, lakini nzuri zaidi ni ile ya 8ball pool,. hapa utaweza kucheza live na mwenzio kutoka pande yoyote ya dunia mkiwa online. Its 24hr...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Last week end watsup nimepokea hii kitu #NewSong Jokate Ft Ice Prince "Leo Leo" nikaickiliza for sure cyo ngoma mbaya ila cyo typ ya mziki niupendao but the thing is huyu Jokate alikua Miss mara...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Hii ni single ya msanii chipukizi Galaxy Pia unaweza ipata Mkito
0 Reactions
1 Replies
4K Views
John Legend ni gwiji wa mziki toka USA ambaye ni mtunzi na mwimbaji mahiri wa nyimbo za blues.Ni moja kati ya wanamuziki wanaoweza kukufanya utabasamu kwa tungo zake mwanana zenye ujumbe na...
8 Reactions
50 Replies
10K Views
Back
Top Bottom