Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
wadau naobeni msaada wa link yoyote ambayo nitakuwa napakulia series mbali mbali, kama vile 24hrs naikosa kwa kuwa sina lik, au kwa msaada zaid naombeni program yoyote ambayo nikiipata na nika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://youtu.be/C38g4JBf2kI
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mtazamaji mzuri wa startv hasa saa za mchana. Kinachoniudhi ni mtindo uliozuka hivi karibuni wa kurudiarudia vipindi fulani ambavyo havina umuhimu wa kurudiwa kila siku.Vipindi hivyo ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
et ule mwimbo wa ''pain in me'' wa Emmanuel Nkulila nnaweza upata wap?
0 Reactions
2 Replies
942 Views
nyimbo ya samba mapangala naitafuta nimeenda google chenga tupu msaada please.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi sio mfuatiliaji sana wa miziki ya kileo, lakini kuna nyimbo mbili zimetokea kunigusa sana ktk maudhui, uimbaji, na upigaji wa vyombo. Nyimbo hizo mbili ukizisikiliza utajua kuwa mtunzi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau kuna hivi vyombo viwili vinavyousika na wasanii waigizaji ambavyo ni Bongo Movie na Shirikisho la filamu. ningependa kujua vyombo hivi viwili vina utofauti upi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hey guys natafuta group inayozungumzia mambo ya muvi na series, my whatsapp # is +255762243055
0 Reactions
0 Replies
713 Views
eti hawa ndo warembo wanaoshiriki miss iringa!huenda miss Tanzania akatokea kwenye kundi hili...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Msaada kwa aliyenao. Nimeshautafuta sana..
0 Reactions
2 Replies
8K Views
habar wana jf nyimbo ya happy and happy kaimba nan ipo kama ya kwaito afu wana rap
0 Reactions
15 Replies
5K Views
dah!.hili shindano inaonekana kuwa zuri kweli kweli. updates zote tupeane hapa.
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimeangalia movies na Tv series nyingi japo sio sana ila nimegundua kuwa Africa kuna location nyingi sana za kufanyia movies, hata stories na matukio yanayotokea na yaliyowahi kutokea nchi za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nashindwa kuamini haya maneno, kwa waliowahi kumuona naomba wanithibitishie tafadhali
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapenzi wa Muziki, Nyimbo gani Imewakaa kichwani leo, na kwanini? Mimi leo tangu niamke, nausikilizia, "Habibi ya nour el ain, by Amr Diab....
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Mwanamuziki kutoka Rock City,Mwanza 'Bob Haisa' ameachia ngoma yake mpya yenye mahadhi ya Chakacha inayoitwa 'Lamsondo'."hii ni ngoma fulani hivi ambayo inanikumbusha uimbaji wa miondoko ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman samahani naomba msaada wenu wapi naweza kudownload marichui na la levancha please nisaidieni maana nina mwaka sasa nazitafuta hizi tamthilia bila mafanikio
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msanii kutoka Rock City,Mwanza 'Malale' ameachia wimbo wake mpya 'Kampeni Za Kahawa' akimshirikisha Bob Haisa kutoka Mwanza pia.Mtayarishaji wa wimbo huu ni King Fenya kutoka Mbunda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom