Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wadau, wale wenyekuitaji dvd za movie mpya na zazamani kwa ajili ya biashara ,zinapatikana kwa bei ya jumla, kama ni muhitaji plz ni Pm tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
2K Views
yaani mtu anaigiza kipofu afu anasimama mbele ya kioo kujiangalia!!!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu wimbo nime ureplay mpaka simu ikashangaa Big up ali k unachua kuchange na muziki http://dartalk.com/music-alikiba-rosa/
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jaman naomba mwenye wimbo wa Michael learns"complicated heart" aniwekee link hapa. Na kundi gani lilikuwa kali kipndi hicho? Kat ya " kool and the gang, air suply, commodores, Bee gees, atrantic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nyimbo hz hapa ya kwanza inaimbwa hv """mpenzi wangu samahani """makosa nimekosa mimi """naomba unisamee angali bado niko hai Ya pili inaimbwa hv """"sina demu kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunaweza kuwa na tofauti zetu na utani na hawa ndugu zetu Wabongo, lakini hapa utani kando, jameni hili kombe tulipiganie kama wana-EAC. Baadaye tutarejelea malumbano yetu. Naombeni tupige sana...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea wa nafasi ya makamu wa urais katika klabu ya Simba amesema anaidai klabu hiyo zaidi ya Sh. milioni 200. Jamhuri Kihwelo ‘Julio' amesema anadai kitita hicho kilichotokana na kuvunja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni video mpya kutoka kwa Msanii Bob Haisa inaitwa Bhatoja
0 Reactions
0 Replies
6K Views
TID Feat. Julio - Check Me (Video) | Swahili Music - YouTube TID feat.Prof Jay -Raha (Official Video) - YouTube TA MAONI YAKO
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vijana wa bongo fleva wameunganisha nguvu na tutengeneza bonge moja la collabo, vijana hao Gosby & ommy dimpoz wameshusha mzigo huu mapema week hii, nimeipata bongo five, Mnyonge mnyongeni lakini...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kipindi cha maigizo kinachorushwa na Clouds TV kinaitwa MAHUSIANO aisee ni kizuri,waigizaji hasa wale wawili(sijawajua majina) but ndo main characters wanajua kuutendea haki...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Ndugu wana jamvi tumeshuhudia maridhiano mbalibali yakifanyika chini ya mikataba zikiwemo katiba, hususani wanavikundi, vyama na wanaumoja. Ni mtazamo wangu sasa kuwe na katiba ya mapenzi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jamaa anadai huo mstari wa davido katika kolabo yake na Diamondo haijakaa sawa. Kwa tafsiri yake ni kuwa Davido kamtoa diamondo kwenda kumngarisha huko lagos na kwengine. From Tanzania to...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo nilikuwa naangalia filamu ya Bongo Movie, kupitia king'amuzi cha Azam Tv, nikakutana na maneno ya kiingereza cha ajabu kilichotumiwa katika tafsiri (subtitles), lengo likiwa kutoa tafsri kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbwiga Mbwinguke, mkora nyani kibwaya mkia, Midfield kisheti! Nazitupa tu huku kule halafu naziomba, nimchakamchaka tu, sako la nyani hilo ngedere haponi. Sasa ngoja nikupe kosi hilo kosi hatari...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
plz nisaidien mtu mwenye idea ya kutumia FL studio 11 naomba tuwasiliane napenda kujua tengeneza beats za miziki
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mna maoni kuhusu hiki kipindi cha tv show cha Maisha plus chini ya mkali Masoud wa kipanya ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
asee kuna vijana wa tamaduni music chini ya mpishi DUKE,yan hawa vijana nawakubali sana,hasa hasa SONGA NA MOKO WA MIUJIZA kwan licha ya kutoa burudan ,wanatoa elimu pia. HIP HOP,TAMADUNI MUZIK...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na aina gani ya hip hop TUPAC SHAKUR alikuwa anaimba? C.C snipa mtengwa SAUTI YAKO
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Nime download kitu kipya cha 24hrs jack Bower http://kickass.to/24-s09e01-720p-hdtv-x264-dimension-eztv-t9075221.html
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom