"Kwanza mapenzi safari, ujana ni maji ya moto
Walinenaga zamani...
Pili tumetoka mbali, matatizo changamoto
tu visa visa fulani...
tatu kidonda chako kwangu maradhi
Mama tu usononekapo kwangu...
Kwa wale ambao walikuwa wanafatilia hii series au kama ulikuwa unapanga kuiangalia bad News ni kwamba haitakuwa renewed kwa season ya pili..., TV Network Fox imei-cancel kwahio kama utaangalia...
Mimi nimiongoni mwamashabiki wa Diamond platnum, Nafikiri hakuna mtu ambae haujui wimbo wa nitarejea alio mshilikisha Hawa, Ombi langu nakuomba utunge wimbo mwingine...
wakati wa ujana wangu mimi baba yenu shati shiling...... Unapata lakini hivi sasa....
Nitashukuru sana nimejalibu kuutafuta mtandaoni sijafanikiwa kuupata umeimbwa na marehemu mzee ngurumo...
people spend a lot of time and money for making movies and they earn a lot of money,while others wasting their time watching movies and being poor.sasa wakuu nimetafakari sana,na mimi huwa napenda...
Jamani sikuwahi nunua album ya mwanamuziki.Leo nimenunua ni mapinduzi makubwa.
Inaitwa MISULI YA IMANI ni ya jamaa anaitwa AMBWENE MWASONGWE,daa hakika ni nyimbo zenye kugusa sana.
MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SABA YA MCHEZO WA BAO
=====================================
KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa
ya Saba ya Mchezo wa Bao...
Habari za jumapili wana jf. Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa series. Hasa nzuri na za kuvutia. Samahanini ila kuna huyu mshenzi anaitwa JERRY BRUCKHEIMER ameyengeneza serie inaitwa Hostages...
Leo nilikuwa naangalia filamu ya Bongo Movie, kupitia king'amuzi cha Azam Tv, nikakutana na maneno ya kiingereza cha ajabu kilichotumiwa katika tafsiri (subtitles), lengo likiwa kutoa tafsri kwa...
Binti commando lady jay dee ana show tarehe 2 May pale pale nyumbani lounge parking. Vipi ndugu zangu wa mjengoni clouds FM hamuandai show au mnaogopa K.O nyingine??
Tunasonga kwa mwendo wa
farasi au kinyonga/
kwa kunyongwa au risasi
maasi yanatuzonga/
tunasonga kwa mwendo wa
farasi au kinyonga/
tunasonga kwa vitendo
karatasi au kuchonga.
Jana 22/04/2014 katika kipindi chake kuna movie aliionyesha na kuisifa sana,which is very good! Ila pia akaahidi kuwa kuna movies pia zipo ambazo zimetengenezwa kwa kulipua lipua, nazo atazileta...
Ijumaa Wikenda : Inadaiwa wakati mkiwa na urafiki, mlikuwa mnashiriki mapenzi ya jinsia moja
( Usagaji ). Je ni kweli ?
KAJALA : Ni kweli nilikuwa nalala naye kitanda...
Amitabh Bachchan Reveals The Secret of Bollywood's Success
By Susannah Palk and Lianne Turner, CNN
It's an extraordinary concoction of dashing heroes, evil villains, insurmountable...
Habari wakuu, tumekuwa na tabia ya kuwalaumu waandaaji wa KTMA kuwa wana upendeleo hasa kwenye Category za Hip Hop, hebu kabla hatujaanza kuwalaumu kili kuwa wanawapa tuzo washiriki wasiostahili...
"Aliyepata ziro form 4 mnamsukumia VETA,
mnaamini umeme wa magari unahitaji MAZEZETA?"
roma mkatoliki huyu jamaa ni fundi wa mistari...
Hajawahi kuboronga..KKK
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.