Salam wakuu,
Kwa wale wapenzi wa muziki wa hiphop nafkiri mtakubaliana na mimi kwamba hivi vichwa viwili ni hatari sana katika kuandika nyimbo za ukweli interms of conscious na vilevile hata flow...
ndugu wanajamvi hasa wapenzi wa muziki wa zamani (zilipendwa) leo nawaleta kwenu moja ya miamba ya musiki Tanzania, si wengine nao ni JAMHURI JAZZ dhidi ya WESTERN JAZZ katika mpambano wa nani...
Kukatika katika jana kwa matangazo wakati wa mchezo baina ya Simba na Ruvu hakukutokana na ubovu wa vifaa vya azamtv bali Tbc1 ambao wamewahost Azam kwenye masafa yao ili kushirikiana kurusha...
Popular Edo born Nollywood actor and board of internal revenue staff, Flavian Okojie has been shot dead in Benin City by unknown gunmen 3 weeks after his wedding. Flavian and former EBS but now...
leo nimeamini kuwa'mazoea ni kama sheria'J,pili hii imekuwa nzito sana kwangu sababu kubwa ni kulikosa gazeti''MWANANCHI''gzt pendwa/aminifu zaid kwangu mimi,kinachonisikitisha zaid ni sababu...
Mama yangu Salama hanipendiiiiiiiiiiiiii hhahhahaa, a few yrs ago niliachiaga A FEW comments about her, ndo beef hadi leo. Huwa ananidiss balaaa kuna mtu alimuuliza siku moja mbona hujamwalika...
wadogo kwa wakubwa ,rika zote ,jamani tunaweza kushare talents zetu kupitia hii thread,najua wengi wetu tuna vipaji mbalimbali vya kuimba,comedy,kurap na vingine vingi,
lets...
Kama tulivyokubaliana kuwa tutakumbushana..........Miss World ni leo na itarushwa moja kwa moja na Star TV au kwa wale wanaoweza kupata Citizen ya Kenya........mjimuvuzishe huko........Star TV ni...
Kwa kweli kwa mtazamo wa kwangu hizi ndio best comedy/funniest movie za miaka hii ya 2000;
1. John English 1 and 2, cast by Rowan Atkinson (Mr Bean)
2. Due date, cast by Zach Galifianakis and...
Why are Jay-Z, Beyonce and many of the other artists that they work with (such as Rihanna) so obsessed with the Illuminati? Why does Illumunati symbolism constantly show up in their music videos...
Kwa ujumla wake mchezo wa mpira-wa miguu, mikono, pete,meza n.k ukilinganisha na muziki-bongo flava, gospel, ngoma za asili n.k kipi kina mashabiki wengi?
Sijui kama bongo kuna wanazi wa mieleka kama ilivyo kwenye soka.
Hii ni kwa sbb sioni linajadiliwa kama michezo na burudani zinginezo.So kwa mwenye updates (kama yupo) atujuze kinachojili kunako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.