Wadau naombeni msaada wa jina kamili la wimbo huu na aliyeuimba.Nimeona video yake hivi karibuni lakini sikubahatika kujua jina la wimbo.
Wimbo una kiitikio "Soma,soma soma...wazuri bado wazaliwa e"
While there are some movies stand out more than others with their amazing plot, humor or actors, there are also some that give us their awesome endings! Well, if you want to watch some movies...
Kuna movies ambazo bado hazijatoka ila zinatarajiwa kua kali na zitatoka mwaka huu huu 2013, nimekutana nazo nyingi tu zikipigiwa promo ila sio zote kiukweli zitakuja kubamba. Kwa wale wapenzi wa...
From 'NSYNC's reunion to that fondling foam finger, we look back at ceremony's highlights, lowlights.
On Sunday, Brooklyn's Barclays Center hosted a party the likes of which the brand-new arena...
Je wewe ni mwanamuziki? Mashindano ya mziki ya dunia ya vibao vipya yanayojulikana kama I Wanna Be Famous yanayoletwa kwenu na Perfect Internet yanaendelea. Mashindano haya yameanza mwezi July...
Nimeinasa BBC jioni hii kuwa Mzee wetu MUHDIN MAALIMU NGURUMO (umri Miaka 70+) amestaafu rasmi kazi ya Muziki wa Dansi baada ya kuwemo katika Tasnia hiyo kwa zaidi ya miongo mitano!
Maoni yangu...
===
=
=
=
"Washiriki 28, kushiriki shindo hili la Big Brother Africa (The Chase), ikiwa ni msimu wa nane tangu kuanzishwa - huku kwa mwaka huu likijulikana kama The Chase. Washiriki...
Wana jamvi, naombeni msaada wenu wa jinsi ya kuupata wimbo wa taarabu wenye mashairi haya "Uliona ni mtaji kwa milupo ya kutupa ukalivamia jiji kutaka mambo kwa......... Hivyo unavyomuona yeye...
1. Kim Kardashian & Kanye West (Bel Air)
Kim Kardashian and Kanye West bought this $11 million Spanish villa-style mansion near Los Angeles shortly after news broke of Kardashian's pregnancy...
je kuna relationship gani kati ya majina ya movies hizi " dark" na ulimwengu ulivyo, je kipi kilichokusudiwa? Najua jf imejaa peoples with great minds na amini some one will explain kwa nini jina...
Kwa wale ajukuu zangu tu ambao wamo ndani ya Jukwaa hili la JF;
Pamoja na mvi zangu hizi, huwa napenda pia kufuatilia affairs za wajukuu zangu. Huyu mtangazaji ni mzuri sana na kazi zake ni makini...
Weekend ndo imeanza,wapi sehemu imetulia niende??Nataka kwenda sikiliza hii nyimbo na kudance bhana!
"Careless Whisper"
I Feel So Unsure
As i take your hand
And lead you to the dance floor
As the...
Mwimbaji mkongwe wa muziki tanzania ametangaza kustaafu na kuomba wananchi wamchangie chochote kwani hana hata baiskeli!Ikumbukwe huyu mzee amekua akitumiwa na ccm katika sherehe mbalimbali na...
Msanii Tundaman amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kujitosa nusu uchi mtaani akiwakwepa askari polisi ambao walivamia kwake leo asubuhi kwa lengo la kumkamata....
Chanzo cha Tunda man...
Ndugu wanajamvi, napenda kuanzisha uzi wenye lengo la kupeana taarifa zinazohusu Tasnia ya filamu Tanzania. Tasnia ya filamu nchini Tanzania inaajiri watu wengi sana, wengi wao ni vijana, ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.