Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wadau ninashida na hii movie inaitwa deep blue sea ndani yupo morgan freemam,ll cool j na wengine nimewasahau ni kali sana niliwahi kuiona mara moja kwenye steshen moja ya tv,natamani kuiona tena...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Tunaomba waliohudhuria haya matamasha watujuze nani kampiga ngwala mwenzako,maana walivyokuwa wanatambiana!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Chorus: Yahayaunaishi wapi Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya...
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Hivi katika hali ya kawaida kabisa huyu jamaa mwana FA anatafuta nini kwa dada yetu Jide? Jide mara ya kwanza show yake alipanga may 31 na mwana FA naye kapanga tarehe hiyo hiyo,waungwana tukasema...
8 Reactions
115 Replies
15K Views
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Hv, ule wimbo Tabu "Ni wewe kipenzi nikupendaye, kwa jina unaitwa tabu" uliimbwa na nani wa bendi gn?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike ktk tuzo za...
2 Reactions
123 Replies
9K Views
Brian Adams. Brian Mcknight. Geoge Machael. Phil Collin. Kenny Roger. Kenny G. Kenny Thomas. Lion Richie. Elton John. Don William. Enric Eglesias. Born M. Abba. Joe Thomas. King Robert Kelly...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nauliza hivi ule mchakato wa vazi la Taifa umeishia wap? Mana ni mda sasa sijasikia lolote ni nini kinaendelea! Mwenye kufaham.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari za muda huu wadau juzi nilikuwa sehemu nikasikia ngoma fulani ya kizamani inapigwa niliipenda but nikashindwa kuijua jina tafadharini naomba mnisaidie kaimba nani nimeweza kukumbuka baadhi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii. Ninashida wa wimbo ambao siujui jina lake yeyote mwenye kujua tafazali anisaidie. Wimbo wenyewe ameimba AY na jamaa simfaham kutoka Uganda. Verse ya wimbo huo Binadam sio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Feza’s Confession On Angelo It’s only in the diary room that you get to know how housemates feel, what they think, strategy for the game, whom they like or have a crush on and even who gets on...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mlimani City kuwaka moto kwa burudani ya kikwetukwetu, leo ni usiku wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania, kuanzia saa moja. Takribani tuzo 32 zitatolewa.
2 Reactions
240 Replies
23K Views
Hv dogo ndio kashapotea kwenye game au kuna nini? Duuu siamini kabisa! au ndio ule ugomvi na mganga wake na mganga ameamua kumwonyesha yeye ni nani? Au ndio dhambi ya mademu wake inamtafuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wasanii juu ya unyonywaji hasa unaofanywa na Clouds Media na kampuni zake shirikishi kama THT,Smooth Vibe,Prime times Promotion na nyingine nyingi. Hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WARAKA NAMBA 1(ZIPO 88) KILA WIKI UTAPATA WARAKA MMOJA Ni wazi na dhahiri kabisa kesi iliofunguliwa mahakamani dhidi ya Lady JayDee haina maana yoyote isipokuwa ni hofu ya mafisadi wa muziki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii? Kwa muda sasa miaka nenda miaka rudi kumekua na hii reality show inayoitwa Big Brother inayofanyika karibu kila mwaka katika nchi ya South Africa. Swali ambalo limekua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani huyu kaka mie ananivutia sana na nyimbo zake. Havumi lakini wamo Nasikiliza Ya nini malumbano!! Ya nini malumbano, ya nini maneno najiweka pembeni naepusha msongamano Bora nitulie...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
kwangu hizi ni moja kati ya movies chache sana ambazo kiukweli ziliwahi nitoa machozi enzi hizo movies za kinaija ndio habari ya mujini. Je umeshawahi zitazama? kama ni ndio unakumbuka nini...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom