Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu hizi epsode zinaonyeshwa sana Star Tv nimekuwa nikimsikia wife akifatilia bila me kuielewa mpk aliponisimulia nimevutiwa sana na namna ilivyoandaliwa kuhusu hawa mabinti wawili wa kimasikini...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habarini ndugu zanguni, katika kujaribu kutafuta what is going on in my life, nimefanikiwa kuanzisha kundi jipya la muziki wa kizazi kipya. Muda huu kundi linajiandaa kurekodi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wasanii woote wa bongo muda wa kufaidi matunda yenu ni sasa. sioni kama mkiendelea kulalamika kila siku ndo mtafanikiwa. huu siyo muda wakuendelea kulalamika zaidi ya kuungana na kuwa kitu kimoja...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Huyu jamaa yuoo wapi siku izi alinikoshaga sana na ile nyimbo yake ya pain in me..ni kitambo sana sijamsikia sijui yuko wapi sasa iv na anafanya nini..
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wimbo wa recho na mwanafa unaitwaje!
0 Reactions
0 Replies
794 Views
(News) Soma barua hii ya wazi kutoka kwa mdau wa muziki nchini "MAFISADI WA MUZIKI: Walio wengi wamezoea kusikia ufisidi katika siasi, viongozi waliokua na uuzo wa tabia na kujilimbikizia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hey Guys....Nairoberry, Livefire, Mwembetayari, and who is that other guy who got me locked up in one malicious ban--I can't even remember his name; anyway I am back: and ready for another big...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The serene town of Varkala buzzes with activity during the vacation season. A perfect beach escapade for leisure travelers, honeymooners and medical tourists, Varkala has much to bestow. Long...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ile cinema ya jide dhidi ya ruge na wajanja wenzie inaendela sasa kwa ruge kumjibu jide tegeni sikio kwenye redio cloudsfm sasa Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye mmoja wa...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Katika pita pita yangu you tube nikakutana na movie moja ya ki nigeria siikumbuki jina vizuri ila nilishangaa sana kumuona richard wa big brother 2007 ndan ya movie hiyp iliyoambatana na waigizaj...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natamani kupata audio clips za Vipindi vya Radio Tanzania ya zamani vikiitwa Pwagu na Pwaguzi jamani. kama kuna mtu alirekodi mikanda ya vipindi vile, pamoja na taarifa za matukio kutoka Dodoma...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Hakuna style nyingine ya kucheza zaidi ya kwaito?
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Soma Barua hii ya wazi kutoka kwa mdau wa BONGO FLEVA. Naitwa Mtanzania Halisi Machungu ! Ninao ujumbe mdogo kwa jamii ya burudani hapa nchini,wiki iliyopita Tuzo za muziki wa Tanzania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani mwenye website ya kudownload hizi nyimbo aweke watu wako wanataka
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada wadau, kwa sasa natumia STAR TIMES,lakini kinanisumbua sana kwa kuganda ganda sana mpaka sioni hata raha ya kua nacho, Nilikua nataka labda nichukue ZUKU au DIGITEK au kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
story yake iko simple arafu movie nzima imeshutiwa kwenye jengo moja mwanzo mwisho, humo ndani sasa ni kichapo, yani brutal fighting scenes...stunts za kufa mtu, unaweza kuiangalia tena na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
​Nawasalim woote!! Nadhani wadau wa Hip Hop toka kitambo watakua wanalikumbuka hili songi...skumbuki vizuri ilikua released mwaka gani lakini wakati inaanza kupenya maskion mwangu nadhani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa habari nilizo zisikia ni kua baraza la mitihani wanatakiwa kurekebisha mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana na kutoa matokea mabaya,je mchakato huu utazingatia muda kweli,ili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni tumetoka kuskia na kuona habari na walaka ulio tolewa na msaani mwanadada Jayd kuhusiana na madudu na unyanyasaji unaofanywa na hiki kikundi cha watu wawili kilicho sajiliwa kisheria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom