Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wadau,napenda sana kuangalia filamu za bongo movies lkn nashindwa kuzipata full online hasa nikitumia youtube,msaada tafadhali juu ya website ambayo naweza kuipata full filamu ya moses ya kanumba...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Sekta ya filamu Tanzania kwa sasa inajulikana duniani licha ya matatizo yake, licha ya mtayarishaji wa filamu wa Tanzania kuendelea kuishi maisha yasiyo tofauti na mtu mwingine wa kawaida! Hali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Am a big fan of Bruno mars na songs zake za ukweli from his first album- Doo-wops and Holigans hadi It will rain lakini album yake ya sasa which goese by the title Unorthodox jukebox truly...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa kama wewe ni msanii au mtu uliye wekeza kwenye sanaa kuna njia bora na rahisi ya kuendesha sanaa yako kibiashara, Fanani Network ni mtandao unaofanya kazi ya kuwapromoti wasanii wa maigizo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii movie inayoitwa "life of Pi" ni bongeeeee moja la movie...kama bado haujaichek i recommend uiweke kwenye "must see list" yako
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKATI Mkutano mkuu wa shirikisho la Filamu TAFF ukiendelea hali imekuwa mbaya kwa katibu wa shirikisho hilo, Wilson Makubi, baada ya kutimliwa na mkutano huu kwa sababu za ubadhilifu wa fedha za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu jamaa SOSOLISO wa JF nilikuwa nafikiri kijana mdogo kumbe wa zamani? Yaani hawa TRIO MADJESI wameshakuwa naye kwenye Stage miaka ya 70 mwanzoni? Pichani, SOSOLISO wamebebana. Video...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Tanzania Weekly Movie Schedule Hansel & Gretel: Witch Hunters Monsters, Inc 3D A Good Day to Die Hard Les Misérables The Attacks of 26/11 I, Me aur Main Zila Ghaziabad Dabangg 2 KUPATA...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Download nyimbo za bure za Gospel toka Africa bure kabisa, tembelea hopedrop
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Habari ya mapumziko ya mwisho wa wiki! Wakubwa kama kuna mtu mwenye interest kama mimi na Zilipendwa hasa za Afrika Kusini naomba msaada anisaidie wapi naweza kupata Album nzima ya Mwanamuziki wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
8. Mrema - Dr. Remmy Ongala & Orchestre Super Matimila.mov - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba tasnia ya filamu ni sekta ambayo inazidi kukua na inaongoza kuwa chanzo cha ajira kwa vijana hapa nchini. Vijana wengi ambao awali walikuwa wahalifu sasa wameingia kwenye filamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapenzi wa series za wakorea, ipi kati ya hizo ilikuwa tity?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wana JF. Nikiwa kwenye hatua za mwisho kwenda Tanzania kwa wiki mbili na nusu, ningeomba kwa yeyote yule anisaidie kunijuza kumbi za bendi na miziki ya dansi na zilipendwa kwa jiji la Dar es...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
:: Nimekuwa shabiki wa nyimbo za Zilipendwa na napenda sana kujua machache yahusuyo baadhi ya wanamuziki :: Kuna miziki ya kale kama Embe dodo Itawezekanaje Jabali Kidege Mtoto si nguo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakuna elements za ubaguzi hapa?!tizama video hii halafu ufunguke kwa maono yako
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasanii wa bongo Movie badilikeni kwa kufanya mazoezi ili muwe na afya njema. Huyu jamaa kafanya la maana kama kweli ni mazoezi ya mwaka mmoja tu, kwa hivi..... mmmmmmhhhh!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naona huu mwaka wa wazee katika filamu Last stand,Die hard
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom