Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30...
1 Reactions
0 Replies
308 Views
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni nini kinasababisha Wauza gesi ya Kupikia kutokuwa na Mizani pamoja kuwepo kwa matamko yasiyo tekelezwa mara kwa mara? Gesi tunauziwa ujazo ambao siyo kwa Bei ile ile hili ni tatizo kubwa kwa...
1 Reactions
2 Replies
204 Views
Mh Rais yupo Rukwa wenye updates tunaomba tujuzane kinachoendelea huko
0 Reactions
1 Replies
197 Views
YEREMIAH. 17:5 BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. Hizi dini zinazofundisha kwamba wewe huwezi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya somalia ya bwana, Hassan Sheikh Mohamud Serikali ambayo imeonesha uahueni wa kuitoa kutoka mgogoro na mdororo mkubwa wa nchi hiyo Africa. Wakati huu...
8 Reactions
83 Replies
13K Views
  • Poll Poll
Wanyama huonyesha aina tofauti tofauti za uwezo wa kiakili na baadhi yao hutenda kulingana na silika yao. Katika ulimwengu wa wanyama, Pweza, Pomboo, na jamii kuu za nyani kwa ujumla huchukuliwa...
1 Reactions
13 Replies
476 Views
Picture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X. Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale...
32 Reactions
170 Replies
12K Views
Wakuu leo usiku imejifunika duveti kwa mara ya kwanza maana hali sio ila hapa nipo job na baridi kali michuzi hadi nawaza dawa yake nini . USSR
11 Reactions
158 Replies
3K Views
Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna...
7 Reactions
74 Replies
10K Views
  • Poll Poll
Waafrika wenzangu, Tupo katika enzi ambapo, kama Waafrika, tunapaswa kufikiria Afrika kwa ujumla badala ya vipande vipande. Tunahitaji kushirikiana, kujadiliana, na kujenga mustakabali wetu kama...
4 Reactions
3 Replies
217 Views
Kuna rafiki yangu kanifuata siku ya leo jioni nimsajilie laini ya vodacom, sikutaka kuhoji, tukaingia kwa wakala nikamtolea laini, ni kwa vile tu yeye hana NIN. Baada ya kumsajilia ndipo kuanza...
5 Reactions
10 Replies
646 Views
P. L. O. Lumumba, mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za kijamii kutoka Kenya, ni mmoja wa wasomi wachache ambao wamejitolea maisha yao yote kupigania Uafrika na kujenga ufahamu wa kina kuhusu Pan...
2 Reactions
10 Replies
401 Views
Burudani kwa wote Kauli mbiu haitaweza kuleta effect ikiwa mtakosa ubunifu wa kuwapa wananchi vifurushi kwa bei ya malipo ya aina tofauti/grades what i mean lazima muweke grades au madaraja ya...
1 Reactions
4 Replies
199 Views
Wakuu habari za leo, Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana. Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel...
2 Reactions
41 Replies
10K Views
Wasalaam ndg, Nianze kwakusema kuna binadam wanateseka na magonjwa ile mbaya analazwa hospital hadi anazoeana na kila mfanyakazi wa hospital kuanzia walinzi, wafanya usafi, manesi na madaktari...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna wakati kila binadamu anapochukua hatua kwenda hospital kwenda kufanyiwa upasuaji Fulani uwe uvimbe mwilini au kitu kingine hpo ameamua Kwa dhati kuwaamini wataalamu ssa wakamponye ugonjwa Kwa...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Ameandika Godbless E. J. Lema kwenye mtandao wa X kuwa:- "Naambiwa vijana wengi leo wa boda boda wamepata ajali mbaya ktk mashindano haya na wengine watatu wamefariki wakitokea ktk mashindano...
8 Reactions
67 Replies
12K Views
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema kuwa kuna wimbi la watumishi ambao wanakimbilia kuomba uhamisho kutoka katika taasisi zao kwenya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Umeme...
10 Reactions
66 Replies
9K Views
Back
Top Bottom