Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
1. Sikudhani 2. Mwamvita 3. Chiku 4. Mwadhani 5. Sipati 6. Jualako 7. Ubaya 8. Havijawa 9. Havintishi 10. Hakai 11. Hazimala 12. Msichoke 13. Ongeza yako Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu...
12 Reactions
73 Replies
2K Views
Mwanasiasa huyu kutoka visiwani aliwahi kushika wadhifa wa juu kabisa katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar alipoteuliwa na Rais Aman Abeid Karume mnamo mwaka 2000 kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Licha ya jitihada mbalimbali za Serikali kuhamasisha matumizi ya vyoo bora lakini maeneo yenye mikusanyiko ya watu, hali imekuwa siyo shwari kwa Stendi Kuu jijini Mbeya. Miongoni mwa maeneo hayo...
0 Reactions
6 Replies
397 Views
Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali...
30 Reactions
108 Replies
5K Views
Mwishoni mwa mwezi tano, Serikali ilitoa kibali cha upandishaji madaraja kwa watumishi wa serikali. Zoezi la upandishaji likaanza rasmi mwezi wa sita ambapo baadhi ya watumishi waliona mabadiliko...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Mitandao mingi ya Umma ya Wi-Fi huwa na usalama mdogo kiasi cha kufanya watu wengine wanaotumia mtandao huo kuwa na uwezo wa kufikia Shughuli na Taarifa zako Binafsi kwa urahisi. Wi-Fi huweka...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha...
0 Reactions
2 Replies
624 Views
Miaka ya hivi karibuni Serikali ilitangaza kuanza kufanya maboresho ya Bandari ya Ujiji, sina uhakika na kiwango lakini niliona taarifa ya Serikali kuwa inatarajiwa kutumiwa Shilingi Bilioni 32.5...
1 Reactions
14 Replies
952 Views
Hivi karibuni yametolewa matamko mengi kwa watumishi kwamba KATIKA MWAKA huu wa fedha 2023/2024 unaoishia June hii 2024 watumishi wote watawekwa kundi Rika Ili wasitofautiane Madaraja kwa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam. Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku...
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Mchungaji Lusekelo amesema kama ambavyo Biblia imeagiza Watu walipe Kodi kwa Serikali vivyo hivyo imeagiza Waumini kutokwenda Mikono mitupu Makanisani Mzee wa Upako amesisitiza kuwa Kutoza Sadaka...
3 Reactions
14 Replies
456 Views
Huko nchini Uganda baadhi ya watu wameendelewa kutiwa mikononi mwa polisi kuwa kumiliki nyaraka kama vile vitambulisho na passport za nchi hiyo ambazo ni feki. Polisi nchini humo inaeleza kuwa...
0 Reactions
8 Replies
422 Views
Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa. Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE...
3 Reactions
3 Replies
331 Views
Leo July 12, 2024 imeitwa kesi ya Watuhumiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30 mwaka huu 2024 na June 17, 2024 mwili...
2 Reactions
4 Replies
654 Views
Nawapongeza Wazambia Kwa uamzi huo wa kishujaa ambao inalenga kuimarisha thamani ya hela,kudhibiti matumizi ya hovyo ya Fedha za Kigeni na kuongeza mzunguko wa hela yao ndani ya Nchi. -- Zambia’s...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosema, kazi kubwa kabisa ya MUNGU ni ipi? Kama MUNGU alituumba tuishi duniani kwa haki upendo na ushirikiano, alafu kuna watu wanakiuka haya yote je wanaadhibiwa...
8 Reactions
167 Replies
3K Views
Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu. Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema...
33 Reactions
94 Replies
7K Views
Habari wakuu. Ni kosa kubwa sana kulalamika kuwa baba yako hakupendi na anakutenga kulinganisha na wototo wengine lakini amekulipia ada na kukupa mahitaji yote ya msingi lakini unakosa ule upendo...
1 Reactions
3 Replies
253 Views
Kuna huyo pastor anajiita Dominic (kiboko ya wachawi) nadhani kuna wanao mfahamu mi nauliza tu ni mkweli ama tapeli kama wengine? Kuna siku natafuta channel ya kusikiliza kwenye radio mara...
5 Reactions
36 Replies
25K Views
Nimeingia Rock City juzi. Aisee I must admit that Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara kwenye sekta ya warembo na upatikanaji wao.. Warembo wa mwanza : 1. Wasafi wazuri wapo classic . 2. Sio...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom