Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Boti ya Sea Express inayofanya safari zake kati ya Zanzibar-Dar, Dar-Zanzibar. Imezimika ghafla ikiwa inaelekea jijini Dar, kwa mujibu wa rafiki yangu ambaye alikuwa ndani ya boti hiyo amesema...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimemsikiliza huyu jamaa na nimeona ukweli katika utani wake. Kusema kweli imeniuma. Kwa nini Waafrika tukiongea kiingereza kwa accent ya kiafrika tunaonekana wajinga?? Mara nyingi unakuta mzungu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika ule msemo usemao usipoziba ufa utajenga ukuta..baada ya majuzi kuzima usiku na kufanya watu washindwe kutua na kuruka sasa ni masaa ma4 airport nzima imezimwa na kila ofisi watu wamekimbia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
.....Serikali imetoa tamko leo asubuhi dhidi ya kampuni zote za usafirishaji wa majini na nchi kavu zitakazo sababisha ajali......akitoa tamko hilo kwa niaba ya serikali waziri Omari Nundu amesema...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
SUMATRA imeyafungia mabasi ya kampuni za MOHAMED na MOrobest kwa muda usiojulikana ili kupisha uchunguzi wa kina juu ya ubora wa mabasi hayo,pia sumatra inajiandaa kusubiri taarifa ya ajali ya...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Kulingana na mambo yanavyokwenda tuombeni amani, kwa maana sasa tunasema bora Nyerere, Bora Mwinyi, na Bora mkapa, Je tukija sema bora Kikwete hali itakuwaje? Sikiliza ujumbe huu wimbo wote hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejiuliza sana nimekoswa jibu naombeni mnisaidie kwa wanaofahamu.Ni nani aliyepiga picha ile meli wakati ikizama na alikuwa amesimama wapi?????????
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa zaidi kutoka Chuo cha MIPANGO nikwamba kuna milindimo ya Mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi waliokuwa kwenye vikundi vikundi.
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Wed, Sep 14th, 2011 | Tanzania Speaker of the National Assembly Anne Makinda Investigations into allegations of high-profile corruption at Usafiri Dar es Salaam(UDA) allegations have been...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Mimi hapa kwa sababu sio mtaalamu wa mambo ya kiufundi na usalama wa Meli naomba leo niongelee hawa waokoaji walio letwa kutoka Afrika ya Kusini. Ilipozama MV. Bukoba mwaka 1996 nikiwa form...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nasikitika kuona serikali imetususa kabisa.Juzi nilikutana na madereva wa treni zaidi ya wa 5 wakilalamikia ubovu wa reli,na uchakavu wa engine.Baada ya magenge kuvunjwa na wale wahind koko ubovu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Igunga msidanganyike na ahadi za ccm Kama ni ahadi watekeleze za kikwete kwanzaHivyo vitu CCM wanaahidi havina haja ya kuahidiwa kila mara. They are MUST things to be done by anyone in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nimefanikiwa kumjua Alietoa Barua ya kumlipua JAIRO.<br /> <br /> namuweka wazi,baada ya kashfa ya udini ndani ya ikulu,Jairo akiwa katibu mkuu ofisi ya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimesoma habari kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa ``Kampuni saba zaomba kuingiza mafuta nchini``. mimi hili linanisumbua kwa kiasi fulani. Kati ya hizo kampuni saba ni moja tu ambayo ni ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani, nimejaribu kufuata utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi wa nyumba kutoka manispaa ya Kinondoni ila sasa ni mwaka mmoja tangu niombe ila ni usumbufu na rushwa imejaa mpaka sasa sijapata...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa kweli huwa nashindwa kuwaelewa wanafunzi wa jiji hili, muda wote wako barabaran na kwenye vituo vya daladala. Muda huu nipo Mwenge, kila kona kuna wanafunzi. Hivi ratiba zimebadilika na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Suala la leseni mpya za kuendeshea magari sasa limekuwa mradi wa watu kwa ajili ya kuwaingizia kipato kutokana na ukweli kuwa haki katika utoaji wa leseni hizo haipo kabisa na kilichopo sasa ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika makala yake kwenye gazeti la mwanahalisi la septemba 7,2011, Kubenea anasema msema kweli anatumiwa pale anaposema CCM hawakuiba fedha za EPA kwa ajili ya uchaguzi wa 2005 wakati ushahidi...
3 Reactions
93 Replies
8K Views
Wana JF, nimefuatilia hawa original komedy. Ninavyofahama mimi wameajiriwa na TBC. Lakini wiki iliyopita walipanda jukwaani kuinadi sisiem. Najiuliza, kundi hili ni la nani, kati ya sisiem na TBC...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naona mko kimya na kondoo wenu, au maandishi yake yamefutika?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom