DALA DALA MBEYA
ZAPADISHA NAULI KITUO HADI KITUO SH 1000
KISA MAFUTA HAKUNA
Dala dala za mbeya zimepandisha nauli
kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi
kituo sababu ni kukosekana huduma ya...
A Letter from the President of Tanzania, Hon.
Benjamin Mkapa, in Response to Tanzanian
Muslims' Grievances
The President of the United The State House
Republic of Tanzania Dar es Salaam
17 Desemba...
Ni ukweli usiopingika kwamba Tz ina magonjwa mengi mno. Karibu kila nyanja inaumwa, tena kibaya zaidi nyanja zingine zimegubikwa na magonjwa sugu!!!!
Tunaambiwa na 'Great Thinkers' kuwa kila Mtu...
Wana JF,
Nimepata Tetesi kuwa Issue kubwa kuhusi hizo Billion zilizo kutwa kwa Account ya Adv. Mwale ilikuwa ni Issue ya Kuuuza Aridhi na zilitumwa na wateje kutoka huko USA na Muhusika mkuu...
Kwenu watanzania
najua mna shida sana ya mafuta lakini sidhan ni muda muafaka kupewa mafuta machafu kwa shida hii
gari la mt meru likiwa na gari lingine wakielekea mbezi nafikiri hii sehemu kila...
RAIS KIKWETE UNAJUA SHIDA HII TANZANIA..NAJUA BADO UNA KAHARUFU CHA NJE JE HAWA NI WATANZANIA WENZAKO KWELI
libeneke la upatikanaji wese katika baadhi ya vituo jijini dar leo
Wakazi wa Tabata...
Juzi niliweza kwenda Kariakoo kununua mahitaji ya nyumbani. Chaajabu ni hiki hapa:
Nilipo taka kununua Kitunguu swaumu, muuzaji alinipa bei mbili. Kilo moja ya Kitunguu Swaumu Kutoka Tanzania...
Kama kila Mtanzania analalamika hadi viongozi wanaotakiwa kuwa wawakilishi wetu ni malalamiko tu.Jamani ifike wakati tuamke na kuacha kulalamika tusaidiane na wawakilishi wetu walio tayari...
Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
Nawasilisha
Ni siku kazaa sasa zimepita tangu Meya wa Jiji la Dar es Salaam kutoa kauli ya kuhudhi, kudhalilisha, kutukana na isiyo vumilika kwa wabunge wa mkoa wa Dar es Salaam. Sito thubutu kuiandika hapa...
Ripoti ya kunyanyaswa watoto Tanzania 10 Agosti 2011 13:10 Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika linaloshughulikia maslahi ya watoto la UNICEF karibu theluthi moja ya watoto wa kike nchini...
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu wananchi, tunawajibika kuandamana kwa amani nchi nzima kupinga adha tunazopata kutokana na ugumu wa maisha uliokithiri.
Kuanzia...
Asubuhi ya leo kwenye maswali ya papo kwa papo, Mbunge wa CCM, kamuuliza swali Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuwa nasikia umefanya kikao na Mwenyekiti wa CDM, Mbowe kuhusu suala la Madiwani Meya...
Naitumia airtel, voda na Tigo nadhani kwa maisha ya kawaida ya kitanzania ni kwamba gharama za mtandao wa tigo ziko chini sana kiasi cha kujaribu kuendelea kuchukuliana na hali ya mtanzania wa...
SHUGHULI mbalimbali zikiwamo za kiuchumi na kijamii katika baadhi ya mitaa ya jiji la Arusha, jana zilisimama kwa muda wakati misafara mirefu iliyojaa mbwembwe za kila aina ya magari, pikipiki...
NI KWELI IGP AMESHINDWA KUSIMAMIA UTEKELEZWAJI WA SERA ZA MABORESHO NDANI YA JESHI KUPITIA MIHIMILI YAKE YA POLISI JAMII,WEREDI NA USASA?INAWEZEKANA KWANI,ASKARI BADO HATUJAONA KIVITENDO USASA...
Found the article titled "why some countries are smart and others laggards "interesting, thought i would share it but was unable to attach link. Articles address is as follows...
Wapendwa wanajf habari zenu! I hope nyote kwa uweza wa Mola mko pouwa! Ndugu zanguni nawaalikeni rasmi katika dua/maombi ya mwezi mmoja ya kuiombea serikali ya Jk kushindwa kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.