Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
"There are moments in our lives when we summon the courage to make choices that go against reason, against common sense and the wise counsel of people we trust. But we lean forward nonetheless...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Hii nji kwa sasa naona kuna makampuni yameamua kutuibia live bila chenga?nipo vichochoroni napata tusker mara mtu ananishtua kuwa tusker wana mashindano c nikajitosa kutuma namba jinsi maelekezo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni nimekuwa nikiona posts za baadhi ya watu hapa jamvini ambazo nia yao ni kuvuruga hoja na kuleta chuki. Nina imani kubwa kuwa wametumwa rasmi na wasiopenda maendeleo ya Watanzania ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
IT'S BUSINESS: FROM KITALE-KENYA TO LOLIONDO-TANZANIA While Tanzanians are at their usual "laid back" life style, Kenyans are capitalising on ‘Babu’ herbal cure, or at least that's what Marc...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa wavuti ya msn - jiji la Dar es salaam ni katika miji inayoongoza kwa uchafu duniani, hii imesababishwa zaidi na miundo-mbinu mbofu-mbofu! asilimia 70 ya wakazi wa Dar wanaishi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshuhudia juzi usiku maeneo ya kigogo luhanga Dar es salaam nje ya hostel ya wasichana wa shule ya Loyola High majambazi wakiwaibia pesa watu amabao inaaminika walikuwa wakiwafuatilia muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana from no where nape kaenda eti udom kukagua majengo ya udom, nakusema eti serikali ya ccm inataka kuyakarabati cause yameanza kuwa na ufa, ukiangalia majengo hayo yamejengwa na hao hao ccm kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Harold Camping, amegoma kuzungumzia mustakabali wa michango aliyokusanya ili kuwezesha radio yake anayomiliki, kutangaza habari za mwisho wa dunia ambao ulitakiwa kujiri siku ya Jumamosi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna matukio mengi ya kikatili yaliyotokea kwa akina mama kujaribu kuwaua watoto wao kwa njia mbalimbali lakini mama huyu wa nchini Marekani amefanya ukatili zaidi kwa kumuua kwa kumbanika kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman ninacm i4n 4 kwa hapa kwetu haisomi network mpaka iflashiwe,kama kuna mtu anafaham pakuflashia anisaidie! Nipo A town.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wandugu habari natafuta kampuni inayofanya digitize hard copy to soft copy.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu wanajf naombeni tuwe makini na tuache unafiki. Nape Nnauye amefika chuo kikuu cha Dodoma (Udom) majira ya saa 5 asubuhi. Hivi Nape alikuja kufanya nini Udom na alitumwa na nani...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Today morning i was at Tandika a place called Davis corner, as i was talking to the guy who was selling newspapers soon came a typical mswahili wearing a msuli and said "mi nakwambieje kubenea na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii ndo ambulance yao
3 Reactions
23 Replies
3K Views
0diggsdigg VYOMBO vingi vya habari leo vimechapisha habari ya kustaafu kwa David Mattaka, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL). Kiongozi huyo wa shirika hilo, aliitisha mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WANAFUNZI watano wa shule ya Sekondari Mbagala ya jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuwafanyia fujo wanafunzi wenzao wa shule ya Sekondari Nzasa kwa sababu za kimapenzi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Last week nilimtumia mtu fedha kupitia m-pesa, salio likapunguzwa kwenye akaunti yangu na fedha kwenda kwa mlengwa. Cha ajabu niliyemtumia akaenda kwa wakala kutoa fedha anaambia hawezi kutoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini. CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba. Uchaguzi umeisha makelele ya nini...
0 Reactions
155 Replies
12K Views
Vijiji karibu vyote vinavyozunguka katika Bwawa la kuzalisha umeme la Mtera mkoani Iringa havina kabisa umeme.Vijiji hivyo vilivyopo kwenye Jimbo la Simani linaloongozwa na Ndugu William Lukuvi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom