Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wajameni, leo tuna sherehekea kuanza kwa mwaka mpya,lakini tofauti na sikukuu nyingine siku ya leo inasomeka kwa namna ya pekee. : 1 :1 : 11. Ni siku ya kipekee kabisa, je kuna mwenye uelewa wwt...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yaani badala ya kufikilia namna ya kuwa na gharama ndogo za umeme wanawaza kuongeza tarrif on a yearly basis. You people you are paid to think and not to whine. Think of altenative for tarrif...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
HABARI LEO (Jumamosi Januari 01, 2011) JK aridhia Katiba Mpya Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 31st December 2010 @ 23:59 Imesomwa na watu: 639; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepewa ushauri na mtaalam wangu wa mwili... kila napomaliza mlo pia nkimaliza mazoezi ya mwili nifanyayo nipate lita 1 ya maziwa. Sasa nlinunua aina fulani ya maziwa ..balaa lake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mungu kawachagua WAISLAMU wawakilishe wote duniani katika ibada ya kuuaga mwaka 2010 akaifanya siku ya mwisho wa mwaka IJUMAA. Amewapa WAKRISTO uwakilishi wa wote katika ibada ya kukaribisha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ra, el, nimrod, chenge wafikishwe mahakani kwa kuliingizia taifa hasara ktk richmond, radar na dowans mwaka huu 2011
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu wote hapa tuko salama tokea kuanza kwa mwaka huu wa 2010 ambao unafikia ukingoni hapo itakapofika saa 6:00am! Nashukuru sana kwa wale wote waliochangia mada zangu kama zilikua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanaJF, Kwa vile Tanzania sasa na sisi tumeingia katika huu mfumo wa soko huria si vibaya kuanza kujitayarisha na yatakayotufika siku za mbele. Hii documentary ya Michael Moore inajaribu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kikwete kuhutubia live saiz mtege masikio kudaka point
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SIKU mbili baada ya Mkazi wa Mafinga Sadick Mhomanzi kujitokeza na kudai kuwa anaweza kuliondoa kaburi la Martin Kiyeyeu lililoko eneo la barabara kuu ya Iringa Mbeya kijiji cha Isimani huko...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ttafiti uliofanywa ndoa za watu zinavunjika sana na hata wafanyakazi wengine kupoteza pesa zao kwa utapeli uliyojitokeza tegeta kwa ndevu stand kuna kamali inayochezwa kwa mfumo wa kuwaibia wakina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi huyu Alex Kajumulo ni bwabwa au ndo uganga njaa wenyewe.. kila mahali kutia mguu..mara coach, mara musician mara gay activist tujue lipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Man Keeps His Dead Wife's Corpse & Turns It into Furniture (Lucy in A Glass Coffee Table) | Nothing But Interesting!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DOGO AMESHAVIFIKIA VILELE VYA MILIMA SITA MIREFU DUNIANI IKIWEMO EVEREST. 22 May 2010 Last updated at 09:43 GMT Jordan Romero, 13, 'becomes youngest to scale Everest'...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Spika wa bunge la Tz,Anna makinda,jana alitoa tamko la kuikubali hoja binafsi ya Mh.mnyika kuhusu uendeshaji wa mchakato wa kuanda katiba mpya.ANNA alisisitiza kuwa bunge litatumia mamlaka yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wana jf tuombe mwaka 2011 uwe wa mema na fanaka maaana majanga kama 1. Kura kuchakachuliwa 2. Dowans madeni 3. Mgombea binafsi 4. Umeya utata wa majiji 5. Kura za maoni zilivyosaidia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki iliyopita katika msikiti mmoja maarufu hapa Arusha kilitokea kituko cha mwaka. Wakati waumini wakiwa wameinama katika kuabudu, muumini mmoja alijisahau kuzima simu yake ya mkononi mara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kikwete bado anatufaa na tutaomba aongezewe muda baada ya kipindi chake kwisha. Madudu mengi yaliyopo yalifanywa na watangulizi wake. Iweje alaumiwe yeye ?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila nikisoma makala za ndugu yangu MS najutia kujiunga JF, najuta kwa sababu katika maisha yangu ya kawaida sidhani kama ninaweza kuwa mshirika na watu wa aina yake. MS na watu wa aina yake ni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom