Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana Jf nawaombeni mwenye kujua hili anifafanulie, kuna makaratasi wenyeviti/watendaji wa Serikali ya Mitaa katika wilaya ya Ilala wamewagawia Mabalozi wa nyumba kumi kumi ili wawagawie wamiliki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kwa taarifa tu natambua kuwa leo MUHAS wanafanya mahafali yao ya nne na JK akiwa mgeni rasmi. I will not be surprised if they will 'offer' him another the so called 'honourable doctorate'...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Kuna gari linapita mitaani likiwataka waislamu wote wakusanyike uwanja wa shycom kwa ajili ya kuanza maandamano yatakayopita katika mitaa mbalimbali ya shinyanga, naomba mlio na taarifa kuhusdu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bwana yesu asifiwe,asalaam aleikhum,nimependa kujiunga hapa kwa sababu ya habari huku ndani ziko informative na michango ya members wengi inaonyesha mtu za huku ndani ni ni vichwa.nimekuja shule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilipokuwa nikipitia Bibloigraphy ya founder wa wikileak nulikuta maelezo ,wikileak founder Julian Assange has lived for periods in Australia, Kenya and Tanzania, links Julian Assange -...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
WanaJf Natumaini hamjambo. Nimerudi salama ingawa sikuaga. Nilikuwa niliondoka kupanda mlima wetu Kilimanjaro tarehe 30 Nov 10. Safari ilianza pale machame gate as expected. I were with friends...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wafanyakazi Tazara watoa siku 14 kwa uongozi Friday, 10 December 2010 21:05 Zaina Malongo WAFANYAKAZI wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
* Tennis great says "disappointed" not to reach summit * Doctor says Navratilova to make full recovery NAIROBI, Dec 10 (Reuters) - Martina Navratilova said on Friday...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya afya kuzorota ghafla. Hali hiyo imetokea siku moja baada...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow, I just want to say hello kwa wadau wote popote pale mlipo ndio kwanza nimejiunga
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Afisa elimu wa mkoa wa mbeya bw jj kaponda amekumbwa na kashifa lukuki za ufuska mkoani mbeya. Akiongea kwa minajiri ya kutotatwa jina shuhuda mmoja wa matendo ya kibosile huyo mbaba, aliutonya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
09 December 2010 | By Matthew Fire stone The annual wildebeest migration in the Masai Mara is an incredible sight...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeagiza Msimamizi wa Uchaguzi Ilala jijini Dar es salaam ashitakiwe katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo la Segerea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LICHA ya kuapishwa na kuanza kuwatumikia wananchi, nafasi za wabunge 39 kati ya 239 walioibuka washindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu ziko shakani kutokana na ushindi wao kupingwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna tetesi huku mitaani kuwa wimbo wa "Ahmada umelewa" wa Bi Kidude amemwimba rais mstaafu wa vile visiwa vya karafuu. Tetesi hizi zinasema huyo mheshimiwa sana wa ule ukoo unaojulikana sana...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Leo hali isiyokuwa ya kawaida nimeshuhudia trafiki akimpiga ngumi dereve aliyemkamata kwa kosa la kutanua, hii mnaionaje wana Jamii, hebu tusaidieni mchango wenu wa mawazo ili tujue haki yetu sie...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
26th June 2010 Air Tanzania Company Limited (ATCL) Celtic Capital Air Corporation, which has been leasing aircraft to troubled Air Tanzania Company Limited (ATCL), has said it will...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo, mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nipo dar kikazi nimefika maeneo ya stendi ya mkoa,OLCOM na maeneo ya mitaa hiyo muda huu kuna kumbi kumbi wengi sana kumbuka kumbi kum bi hawa hunaswa kwa mitegoi maalum na ni mboga safi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom