Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
1. Life isn't fair, but it's still good. 2. When in doubt, just take the next small step. 3. Life is too short to waste time hating anyone. 4. Your job won't take care of you when you are...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Katika hotuba yake ya kukubali kuwa mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM hivi karibuni, JK alionyesha kukerwa na majamvi ambayo yamekuwa mstari wa mbele katika kukosoa mwelekeo wa serikali yake. Vile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada, najaribu kujaza mifomu ya kuomba viza ya obama sasa kuna haka kapengelea cha Passport Book NUmber nimeshindwa kukaelewa. Heeeelp?! Je Kwenye passport yetu ya Tanzania naipatia...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
SPECIAL REPORT: Tanzania’s debt stock to hit Sh2.54 trn by June 2011 Monday, 11 October 2010 10:40 By The Citizen Reporter Until 1997, the Tanzania government had no domestic debt. By 1998 when...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi leo nimepokea message ifuatayo toka TIgo "Ndugu Mteja. Kuanzia 8/10/2010 kila ukituma muda wa maongezi kwa namba yako kwa mfumo wa 101 utatozwa 3% ya salio unalotuma. Endelea kufurahia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
'Baba, Hela Hii Inanunua Nini?' "Baba hela hii inanunua nini?" aliniuliza binti yangu mwenye umri wa miaka minne. Niligeuka na kuangalia, halafu baada ya kuona sarafu aliyoishika mkononi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
According to CNN so far 5 miners have been rescued and will be hospitalised for a while. MY TAKE See how caring Chile govt is to its Citizen was it to be in Tanzania we would have forgotten these...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
I think this one deserves an award!!!!
0 Reactions
0 Replies
987 Views
KWeli WAPO wachache sn watu wa aina hii. Kweli TZ tunao watu wachache ambao hawako tayari kuuona uozo na ugonjwa wa ufida unaendelea hawa wanaafaa mifano bora katika jamii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukifika unaweza hisi magari yamepangana kwenye msururu wa kwenda kumuaga mwalimu nyererela hasha kumbe yamesimamishwa na matraffic wapatao6 wawili wakiwa na jesi za brown na wa4 nyeupe wakiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wenye Hekima kama mie mwayafahamu haya?Kuna Bwana mdogo Fulan anabebebwa na vyeo vya kikubwa while hana Vigezo...mpo hapo wazalendo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
EU walaani tamko la vyombo vya usalama TAMKO la mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo bado linakosolewa baada ya waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ajitokeza Uchi Mbele ya Obama, Ashinda Dola Milioni 1 Juan James Rodriguez alipotiwa mbaroni na polisi baada ya kujitokeza mbele ya rais Obama akiwa uchi wa mnyamaWednesday, October 13, 2010 3:54...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Channel ten leo jioni imepitisha kwenye habari zake tukio la JK akisakata ngoma ya "Kiduku" ya huko kusini na kuonekana habari hiyo imefunika hoja zozote zile za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
11 October 2010 ' Mwenyekiti' wenu naandamwa na maneno kule Jamii Forums ( JF). Nimeishi Iringa na Wahehe kwa miaka sita sasa. Mkisikia nimechukua kamba na kujinyonga, basi, ni JF...
0 Reactions
111 Replies
11K Views
Mwananchi wewe unajisikiaje pale nchi yako inakosa eneo maalumu kwa ajili ya Viongozi!! Kwa sababu ya ufisadi na tamaa zao kuuza nyumba za serikali ambazo baba zetu waliziheshimu kwa miongo kadhaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwizi akamatwa kwenye Box Gonga Hapa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Oct 11, 2010 Drama ensued in Arusha, Tanzania, last week when the wife of the owner of several hotels reportedly disappeared with wads of cash taken from one of her husband’s businesses...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jamiiforum, Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Jf, Nilipata kisafari cha kikazi nje ya nchi kwa wiki tatu hivi, nimerudi juzi so weekend hii nikawa kijiweni kwetu nikawa nachat na rafiki yangu anayefanya kazi serikalini ambaye ngazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom