Mbunge wa Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, Mathias Chikawe akiwa amembeba mtoto Mawazo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minne alipotembelea kijiji cha Mbondo wilayani Nachgingwea hivi...
MKAZI wa Makumbusho, Gharibu Ayubu (35) anashikiliwa kituo cha polisi Kinondoni jijini hapa kwa kumkanyaga kichwani kwa gari lake hadi kufa, mtoto wake, Ayubu Gharibu aliyekuwa na mwaka mmoja...
jamani, niliwahi kusikia kwamba miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na mfumo wa kulipa nauli kulingana na umbali aliosafiri abiria hapa bongo. hivi hili lina ukweli wowote? na kama ni la ukweli, kwa...
Wana JF,
Nataka kuandika kitabu kuhusiana na Bendi za muziki za zamani kidogo. Kitabu chenyewe kitakuwa na mkusanyiko wa historia fupi ya Bendi hizo, wanamuziki wake, Makao makuu yao, Nyimbo...
Mimi si miongoni mwa watu ambao nimepata kutokukubaliana na tangazo lolote la HakiElimu! Hata hivyo, lazima nikiri wazi kwamba wadau wa Elimu Lindi wamenena, na sasa kazi kwenu HakiElimu kuifanyia...
WADAU,
NAOMBA NIULIZE, HIVI NI LINI AMBAPO JAMlI FORUMS ITAZINDULIWA RASMI?
TULIAMBIWA NI MWEZI HUU WA NNE NA LEO MWEZI UNAKARIBIA KATIKATI LAKINI TAREHE BADO HAIJAWEKWA WAZI.
TUNAOMBA UONGOZI...
The Heart of the Women.....They are Wonderful
They smile when they want to scream.
They sing when they want to cry.
They cry when they are happy
and laugh when they are nervous.
They fight...
Watu 16 wamefukiwa na Kifusi walipokuwa wakitafuta dhahabu katika mgodi kwenye kata ya Kaseme wilayani Geita Mkoani Mwanza. Maiti wameopolewa na watu wanane wametambuliwa.
Kamati ya Ulinzi na...
Huwa napokea e-mails kama hizi !
UNITED NATIONS / WORLD BANK COMPENSATION UNIT.
Attention: Beneficiary,
How are you today? Hope all is well with you and family?, You may not...
worked in a place where one of the customers left an item that I would value to be over $200 maybe as high as $500.
The owner of the place found it and showed it to me after we closed.
He said...
To make quick money, start your own church
By Arusha Times Reporter
Monotonous high pitched voices, unintelligible prayers and corrupted gospel songs that disturb your neighbourhood daily...
Sudan ni nchi ambayo inaongozwa na Field Marshall Omar al Hassan Bashir kwa kuipindua nchi hiyo mwaka 1987 mpaka leo hii ndio amejivua cheo chake cha Field Marshall na kuwa raia na kuamua kugombea...
Nazungumzia sabuni za unga ambazo hivi sasa zimeenea uswahilini kwetu. Sabuni za unga hizi ni tofauti katika packaging ukilinganisha na packaging iliyozoeleka ya sabuni za unga. Packaging...
Nilidhani watu wa kipato cha chini tumepatiwa mkombozi na voda com,
kumbe sio mkombozi ila ni malaika izraele mtoa roho aliye kuja kwa sura ya upole, upendo na tabasamu huku nyuma yake akiwa na...
Bibi mmoja nchini China amekuwa mwanafunzi mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani baada ya kuamua kuanza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 102.
Ma Xiuxian, kutoka Jinan, katika jimbo la...
shalom ndugu zangu wote wanaJF pamoja na techinical team yote ya JF, napenda kutanguliza pongezi zangu nyingi kwa kazi ngumu mliokua mnaifanya kwa kipindi chote hicho, infact u deserve lots of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.