About 4 years back, nilienda Nairobi, wakati natembea downtown mchana, walinitokezea mijitu minne mirefu na meusi titii! Ilinizunguka huku wakiwa na visu, sikutaka kuleta kukuru kakara kwa kuwa...
Hii ni kwa mujibu wa Tovuti ya WAVUTI...
Kuna watu wana tabia ya kiherehere, wanaopenda kubofya bofya kila linki wanayopokea hasa pale inapohusu habari za kustua ama gumzo dhidi ya watu...
Kuna rafiki yangu amenitumia email hii ambayo imenishtua kiasi fulani. Wanajamii forum hebu tuichunguze na kuijadili kuona kama ina ukweli wowote.
"Habari ndio hiyo, uamuzi ni wako
Kwa mujibu wa...
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NDANI YA ULIMWENGU WA ULIMWENGU TBC 1.
Jana tarehe 16/march/2010, Msajili wa vyama vya siasa alikuwa mgeni mwalikwa katika kipindi cha ulimwengu wa ulimwengu...
Nina Hofu sana na Hatma ya Afro.
Nakumbuka huyu bwana alianzisha Thread moja Nzito yenye Tittle ''joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania''
Huyu bwana alikua anawakiliosha...
Naomba msaada wana jamii.
Ms Excel file zangu zenye rekodi za biashara kwa miaka 3 iliyopita zime "corrupt" na haziwezi kufunguka. Nimeelezwa nikipata software ya kurepair au recovery basi...
March 15 ni maadhimisho ya siku ya mlaji duniani. Nami kama Mtanzania ni mara yangu ya kwanza kusikia maadhimisho ya siku hii katika taifa letu. Nakiri kuwa sijapata nafasi ya kutosha kujua nini...
Wakuu naombeni msaada! Nina ujumbe wa vijana wangu saba nawatuma kuelekea Tanga kibiashara, wote ni wageni mkoa wa Tanga. Naombeni mnijuze hotel za kati zenye kiwango kati ya Tsh. 15,000 na Tsh...
Hapa sijaelewa,Mwananchi mmoja huko Lindi aliuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akiiba kuku!
Mambo haya yamezoeleka tuu , kwani Kamanda wa Polisi amesema...
SHEIKH YAHYA ANUSURIKA KUUAWA
Habari zisizo na shaka zinasema kuwa mashabiki hao, wengi wao wakiwa wa Klabu ya Simba, walivamia nyumbani kwa mnajimu huyo kwa lengo la kumrudi kutokana na kile...
jana bana mazoea kweli yanatabu,kila nikifungua inagoma nikamuendea mtu wa IT hapa job na kuanza kugombana nae kwamba kwann wanablok sites?jamaaa innocently akaniambia sio mm nadhani Head office...
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Mwanagati iliyo Kata ya Kitunda wilayani Ilala jana waliandamana kupinga elimu duni inayotolewa katika shule hiyo ya serikali iliyofunguliwa mwaka 2006, lakini...
Money does matterWorried about how you'll behave when you win the lotto? A recent study shows that even just thinking about money may actually affect behavior.
"The mere presence of money changes...
VYAMA vinavyounda Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) vimeanza kutoa mwongozo kwa wanachama wao, kuunga mkono mgomo wa wafanyakazi nchini nzima, ikiwa ni pamoja na kuwashawishi kushiriki...
Kuna ule wimbo wa Msondo Ngoma ''ukiona mtu mzima analia, ujue kuna jambo''
nimezidi kuuelewa huo wimbo jana jioni wakati narejea nyumbani.
Nilikuwa natokea IFM kupitia Shaaban Robert street...
GOLD NEWS
AFRICAN GOLD
Tanzania's 2009 gold earnings up 15%
The country's gold sector was helped along by higher bullion prices and an increase in output the central bank said on Monday
DAR ES...
Imekuwa ni desturi kwa Marais kuweka wanafamilia katika madaraka ya nchi. mfano Museven alimteua mkewe kuwa waziri, Mtoto wake wa kiume kuongoza kikosi chake cha ulinzi wa rais, mtoto wa kikie...
One day a little girl jumped trying to touch leaves on a tree. Another girl was wearing a red dress on that day, she was nearby but she didn't see the jump. A woman in orange sari was thinking...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.