Friday, October 09, 2009
MKAZI mmoja wa Mbagala, Shiza Rajab (25) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala ya ya jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kujifanya Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi...
Kama wewe ni mtanzania,na upo tanzania kwa sasa,na una elimu nzuri kabisa ya uraia basi leo ndio siku ya mwisho kabisa ya kuhitimisha zoezi hili
Naamini kabisa mabadiliko ambayo kila mtanzania...
Nachukua nafasi hii kumshukuru ramthods na jf kwani tatizo langu limetatuliwa....Wana jf kuna kipindui niliandika humu jamvini kuhusu clouds fm wanavyoniibia,watu wengi sana waliguswa kwa...
Habari za kuaminika kutoka kampuni ya uchapishaji wa magazeti ya New Habari inayomilikiwa na Mbunge wa Igunga Rostam Aziz zinasema kwamba gazeti la kila siku la Mtanzania limeporomoka mauzo kiasi...
HOFU kubwa imetanda kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake na wale wakazi wa Mkoa wa Pwani kufuatia sumu iliyomwagwa na wavuvi katika mto Ruvu kwa lengo la kuvua samaki...
Zurich gives go-ahead to poster with 'racist image of Islam' ahead of Swiss vote on allowing minarets at mosques
Last updated at 10:49 PM on 08th October 2009
Zurich city council said...
:confused: UNAWEZA KUSHANGAA,HIVI HII NI WILAYA GANI AMBAYO HAINA YALE MUHIMU KILA MWAKA? Mwaka huu kwa waliowengi kutoka mwaka jana matarajio yao ilikuwa mwaka huu ndo waone walau RAMI(BARABARA)...
EXPERTS from Norway are in the country to start repairing the 60MW turbine that broke down at Kihansi hydropower plant on September 7.
The Deputy Minister for Energy and Minerals, Adam Malima...
Wakati uliopita, mmoja wetu aliweka hapa jamvini details za minilaptop na feedback kutoka kwa wadau zilikuwa za kukatisha tamaa. Hata hivyo nimekuwa nikitumia hii minilaptop sasa kwa muda na...
Kuna mjadala utaibuka muda si mrefu, unaohusiana na jitihada za kifisadi za kuuzima na kuufunika kabisa mchakato wa kurasimisha sekta ya sanaa Tanzania, jambo ambalo ndugu yangu JK ameliweka...
Friday, 09 October 2009
Na Grace Michael
SHAHIDI wa tano wa upande wa Mashitaka ambaye ni Mkurugenzi wa Benki Kuu Bw. Emmanuel Boaz ameieleza mahakama kuwa dokezo la kuomba idhini ya malipo ya...
SHUTUMA DHIDI YANGU (AFRICAR KAGEMA) KUTOKA SALES TEAM
Ni wajibu wetu sote kutambua kuwa biashara sio siasa na aihitaji mambo ya kisiasa badala yake inahitaji uwajibikaji na uzalendo kwa kila...
Ni kitu cha kushangaza sana ikiwa webmaster wa UDSM ICT ndiye webmaster wa HESLB na ame-upload contents za UDSM ICT kwenye HESLB. What a shame?!!!! Ukifungua http://heslb.go.tz unapata contents za...
9th October 2009
Na Richard Makore
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Jeremiah Sumari.
Serikali imesema mashine nyingi za kutolea fedha benki (ATM), ni mbovu kwa kuwa huingizwa...
</SPAN>
Abdul-Jawad akiwa kitandani akielezea jinsi alivyomla uroda jirani yake wakati huo akiwa na umri wa miaka 14.
Mwanaume wa Saudi Arabia ambaye alijisifia kwenye kipindi cha luninga...
Wana JF salaam.Naomba mnisaidie kwa hili ni zito.Shirika la NASA limetuma bomu kwenda kuulipua mwezi.Lengo lao ni kupata barafu iliyopo katika mwezi. Je hatua hiyo si hatari kwa wanadamu? Gharama...
KWA bahati nzuri, uhuru wa kutoa maoni hapa nchini hautokani na ridhaa ya chama chochote cha siasa iwe kupitia vikao vyake rasmi au vinginevyo, na hasa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Na zaidi, uhuru...
A stolen or lost wallet can ruin even the most magical of holidays. So, before you head off on your travels, make sure you follow our top tips on keeping your money and cards safe. 1. Use a...
Why Are Women So Unhappy At Work?
By Sean Silverthorne
October 7th, 2009 @ 8:30 am
Some startling research, at least to this male, reports that women are twice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.