A Tanzanian opposition party is calling for the resignation of the president and defence minister, over a recent deadly blast at an ammunition depot.
The National Convention for Construction and...
Nimesoma hii article kuhusu wazazi kubadilishiwa watoto mara baada ya kujifungua ikanikumbusha hospitali zetu za kibongo! Then nikajiuliza, hapa kwetu mambo yakoje e.g. Mwananyamala, Amani, Temeke...
Leo saa nne na nusu usiku(saa za Tanzania),etv ya afrika kusini itaonyesha,kuongelea na kuhoji baadhi ya watu mbalimbali kuhusu mauaji ya Albino nchini kwetu.kipindi kitaendeshwa na mtangazaji wa...
Habari!
Natafuta hiki kitabu kama kinawezekana ku-download hivyo naomba msaada jinsi ya kupata link au naomba link..Kitabu kinaitwa:
Getting to yes: Negotiating agreement without giving in by...
WHAT DOES THE BIBLE SAY ABOUT...
BECOMING INVOLVED WITH PYRAMID SCHEMES?
by Mark Buckley
Beware of illegal and unethical Pyramid Schemes. There are several variations of pyramid schemes...
Pamoja na nchi hii kupata uhuru wake miaka zaidi ya 40 sasa bado kuna watu wanatumikisha na mabwana makubwa na kunyanyashwe na pia kudharauliwa. wakati wa ukoloni mababu zetu walitumikisha na...
Nimeisikitikia serikali kwa kuingilia na kuufunga mjadala wa mafahali wa ufisadi yaanai Regnald Abraham Mengi na Rostam Aziz.Interest ya serikali ni kuogopa kuumbuliwa kwa ajili...
Pole sn mkuu yo yo; kwa mujibu wa Masanilo alituhabarisha ya kuwa ulijeruhiwa ktk kile kizaazaa cha mabomu mbagala.
Tuweke wazi mkuu ili tuondokane na teteai hizi.
Na Edwin I.M. Mtei
NI jambo la kusikitisha kwamba Tanzania kwa jumla, katika miaka ya hivi karibuni, tumeonyesha dalili za kutojiamini kadiri tunapoongezeka umri kama taifa.
Mara baada ya...
Tukiwa tumeanza kusahau machungu ya mabomu yaliyolipuka siku chache zilizolipita, kuna taarifa kwamba mabomu mengine yamelipuka huko Mbagala. Waliopo karibu endeleeni kutujulisha.
The looting of our country continues unabated.
Gold dust from Tanzania lands in customs net
12 May 2009, 0003 hrs IST, TNN
Bangalore: Customs sleuths on Monday seized 2.786 kg of at...
Mchemsho wa kwanza wa Zuma......hatujifunzi Waafrika ?
Statement by President Jacob Zuma on the appointment of the new Cabinet
This is Zuma's statement on the formation of his new cab...
How to be a Tanzanian is one of the more enduring challenges of our
lives. The phrase raises questions about identity and national
culture; it is about the interconnection between state and...
Ndugu watanzania nafikiri kuna baadhi tu wanaoona hii starehe ya riitta paulsen ya bongo search kupiitia itv.tulijua wao ndio watakuwa wa kwanza kuelimisha jamii lakini inasikitisha sana kuona...
Hapa kwetu tungekuwa na waandishi wa kuchokonoa tungepata habari nzuri zaidi kujua jinsi mawaziri na wabunge wanatumiaje kodi yetu Mh. Slaa alisema mshahara yao ni mikubwa lakini hakuja na...
Polisi wamweka rumande mtoto babake ajitokeze Sunday, 10 May 2009 09:58 Na Glory Mhiliwa, Arusha
JESHI la polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtoto wa miaka tisa aitwaye Richard Grayson mkazi...
It has been stated that it is easy to get into Mombasa but difficult to get out on account of the allure of life there. But *Nick, an NGO worker recently returned from Dar es Salaam, thinks this...
Nimeona hii habari kuwa mlima Kilimanyaro unategemewa kuripuka katika mwezi wa November mwaka huu.
What Mt. Kilimanjaro may look like
during its volcanic explosion
with the Moshi town below...
Jana katibu Mwenezi wa CCM ambaye pia ni waziri wa Habari na utamaduni George Mkuchika alitoa malalamiko yake juu ya "upotoshaji" habari ulionesha kwamba viongozi waandamizi wa CCM walizomewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.