Bidha feki zinauzwa kila duka Tanzania. Ni imani hakuna Mtanzania ambaye hajalizwa. Mimi leo hii nimeenda dukani kununua betri za kamera. Najua zile za kintazania yaani national hazina nguvu ya...
Justin Timberlake to climb Mount Kilimanjaro
Justin Timberlake
Lupe Fiasco and Kenna also taking on African climb
Apr 16, 2009
2 Comments
Justin Timberlake news, reviews, video and tour dates...
Nkwazi Nkuzi
Tanzania Daima
VYOMBO ya habari viliripoti na kumkariri Rais Jakaya Kikwete akifanya kile vyombo vya habari vilikiita msimamo juu ya tuhuma za ufisadi zinazoikabili serikali, chama...
Imeandikwa na Maulid Ahmed; Tarehe: 1st May 2009
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Mkoa wa Tabora, wamemtaka Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi, kuacha kutukana viongozi wa chama hicho na...
Waathirika wa mabomu wakabidhiwa Sh 1.5 milioniNa Geofrey Nyangoro
WAKATI Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (Talugwu) kikitoa msaada wa Sh3milioni kwa ajili ya kusadia...
Hakuna ubishi kuwa Tanzania inayumba kwa kukosa uongozi makini. Nyufa zimetapakaa kila pembe ya nchi na ufisadi unazidi kuzifumua. Mchango wa wanaharakati unahitajika sasa kuliko wakati wowote ule...
Nyerere ameacha familia yake maskini hakuwa mjinga me ndhani bora nchi iongozwe na dictator, JAMANI tufanye nini ile yale yanayosemwa serikali haion,je watendaji wanogopa kukosa ajira, kukosa...
MWANDISHI wa Habari, ni mtu muhimu kwa taifa na jamii kwa ujumla,
kutokana na mchango wake mkubwa katika kuelimisha, kuasa, kuonya na
kuhabarisha matukio mbalimbali, yanayotokea katika dunia...
Preachers in Great Cairo's mosques described the swine flu epidemic as a punishment from God to humanity because of its sins.
Sheikh Gamal Abdul Aziz, imam of a mosque in Qalyubia, quoted the...
mama husna mbona unatoa mimba ? ahh hii mimba sio ya mume wangu
Hiyo ni kauli kutoka kwa mmoja ya wafanyakazi wa kampuni moja ya mambo ya mawasiliano , hapo rafiki wa mama husna alikuwa...
Dibaji
Yapo maainisho kadhaa tofauti ya neno ujasusi, hata hivyo wataalamu wote wanaafikiana na ainisho jepesi kuwa ni utendaji wa siri chini ya mtandao wa siri uliosukwa kwa namna ya usiri ndani...
There good news to Precison air to all air travellors in Tanzania. The company is buying a new plane ATR72 airbus which might be in Tanzania few days from now. So guys who were thinking of quiting...
Kwa mpenzi Paranoid Young Man Fisadi Papa Rostam Aziz
Salaam
Dhumuni la waraka huu ni kutaka kujua hali yako baada ya shoo ya mchezo wa kuigiza uliyoifanya pale Kempinsiki. Kwa kweli...
Heshima Mbele,
Jana nilipata ujumbe wa simu toka kwa Mpwa wangu ambaye yuko chuo kikuu cha dar es salaa,Safari hii alikuwa akiniambia jambo la kusikitisha. Aliniandikia kuwa ile tovuti al maarufu...
Mnada wa samaki waliokamatwa kwa wavuvi haramu wadodaPeter Edson na Aika Mushi
KAMPUNI ya udalali ya Yono Auction Mart jana ilishindwa kuanza kazi yake ya kuuza tani 70 za samaki waliovuliwa...
Kumekucha
Tulidhani vita ya ufisadi imefikia ukingoni. Kuna hata baadhi ya viongozi walifikia kututahadharisha kwamba tuachane na hili, kwani limekwisha.
Sasa ndo kama kumekucha vile. Vita au...
Kwa mujibu wa kituo cha luninga ITV, Imetangazwa vita kubwa kwa ndege weusi, korofi na wasumbufu! 'kunguru' kutokana na tabia zao za ukibaka, udokozi misosi, wizi wa soap na hata nguo za ndani...
Mabadiliko yoyote yanaanza na mtu binafsi ambaye ana msimamamo, nia, na uelewa jua ya mazingira yake. Mtu ambaye ameamua kwamba niwe peke yangu au na wenzangu nitatimiza nia yangu. Ni mtu ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.