Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Pia soma: LGE2024 -...
3 Reactions
4 Replies
710 Views
Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa...
0 Reactions
52 Replies
2K Views
"Kuna mpango gani wa kuongeza posho kwa Askari na Maafisa Waandamizi wa uchaguzi" - Mhe. Angelina Adam Malembeka, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kaskazini Unguja "Wakati wa uchaguzi wasimamizi wa...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa mapendekezo kwa Mamlaka za Serikali na Uchaguzi yanayoshauri kufanyiwa maboresho katika baadhi ya vipengele kwenye Sheria za Uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
446 Views
Hivi kuna haja gani ya kufanya uchaguzi 2025 wakati viongozi wanapanga wao. Kwanini wasichaguane wenyewe kwenye chama na hayo mabilio ya pesa yakafanya mambo mengine?
2 Reactions
1 Replies
311 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Wanawake nchini kuendelea kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi katika Maeneo yao kuelekea uchaguzi wa...
1 Reactions
1 Replies
255 Views
🗓️ 26 Machi, 2024 Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda kwa pamoja wametimiza ahadi yao kwa kumpatia Mwenyekiti wa CCM na Rais wa...
0 Reactions
12 Replies
814 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba ameongoza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akigawa taulo za kike na...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Mbunge Martha Mariki Atoa Mashuka 100 Katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki kupitia Chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoa wa Katavi ametoa...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MASHUKA YALIYOTOKA KWA RAIS SAMIA HOSPITALI YA GAIRO NA MAFIGA MKOANI MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 17 Februari, 2024...
0 Reactions
3 Replies
738 Views
Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui? Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa! Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance)...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es...
20 Reactions
132 Replies
7K Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua Zahanati ya Ilenge iliyopo katika Kata ya Kyimo ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha Wananchi wanapata huduma ya afya karibu na Makazi yao, Januari...
1 Reactions
1 Replies
304 Views
Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu Nachukua nafasi hii...
3 Reactions
10 Replies
615 Views
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela, Wakazi wa Kijiji cha Lugulu chenye vitongoji vinne ambavyo ni Lugulu, Masheni, Ramu, na Mkondogwe, tunaomba utekeleze ahadi yako ulioahidi kipindi...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Back
Top Bottom